Wauzaji mayai mmekumbwa na Nini trey 5000?

Nahisi ni hali ngumu waliyonayo wananchi maana kipato kwa kweli kimeshuka.na bado yatashuka sana.mm kuna mama mmoja ameuza kuku wake 200 kwa 1@ sh. 7500 .

Kuna wakati wafugaji walilalamika kuwa kuna mayai mengi yanaingia kutoka nchi jirani, hasa Kenya, na yanauzwa kwa bei ya chini kuliko wanayouza wafugaji wetu hapa nchini. Kwahiyo soko limevamiwa. Mimi huwa najiuliza, kwanini vitu vinavyoingizwa kutoka nje vingi vinakuwa na bei ya chini kuliko vya ndani?? Chukulia mfano sukari, saruji n.k. Hata kama itaingia kwa utaratibu wa kawaida na kodi zikalipwa bado bei yake ni chini kuliko vinavyozalishwa nchini
 
Hakuna wazalishaji wenye uwezo wa kulilisha soko LA mayai ni kubwa sana

Wewe utakuwa ni mtu wa ofisini hujui lolote kuhusu ujasiriamali kwahiyo unaongea kwa kudhania huku ukingoja mwisho wa mwenzi ufike upate mshahara wako.
 
Tafuteni masoko nchi za nje msikomae na soko la ndani tu..
 
Hebu ngoja nijiongeze mie nikajichukulie trei zangu.
Ninavyopenda mayai sasa...
Uwiiiiiii
 
Nahisi ni hali ngumu waliyonayo wananchi maana kipato kwa kweli kimeshuka.na bado yatashuka sana.mm kuna mama mmoja ameuza kuku wake 200 kwa 1@ sh. 7500 .

Mkuu, ni kuku wa aina gani ameuza bei hiyo kiongozi hawa wa broiler au ni wepi mkuu...?.
 
Nahisi ni hali ngumu waliyonayo wananchi maana kipato kwa kweli kimeshuka.na bado yatashuka sana.mm kuna mama mmoja ameuza kuku wake 200 kwa 1@ sh. 7500 .

Kuna wakati wafugaji walilalamika kuwa kuna mayai mengi yanaingia kutoka nchi jirani, hasa Kenya, na yanauzwa kwa bei ya chini kuliko wanayouza wafugaji wetu hapa nchini. Kwahiyo soko limevamiwa. Mimi huwa najiuliza, kwanini vitu vinavyoingizwa kutoka nje vingi vinakuwa na bei ya chini kuliko vya ndani?? Chukulia mfano sukari, saruji n.k. Hata kama itaingia kwa utaratibu wa kawaida na kodi zikalipwa bado bei yake ni chini kuliko vinavyozalishwa nchini
Hiyo iko dunian kote kilichopo ni kuzuia tu na ninafikir inatokana na utofauti wa kodi na gharama za uendeshaji katika nchi husika.
 
Ungekumbuka ukawauliza hao hao wauzaji ndio ungepata majibu sahihi kuliko hapa JF
 
bei zikipanda shida zikishuka shida
ni ngumu kumridhisha binadamu
 
Au ndio value for money aliyosema mkulu jana ikiendana na kushuka kwa inflation!
By the way, hapo nyuma unakuta mtu anauza kakiwanja tena bondeni anakwambia mita 20x15 shilingi 25,000,000/- na mtu analipa hapo hapo! Kwenye nchi hiyo hiyo unakuta nusu ya wanafunzi wa elimu ya msingi iliyo muhimu sana hawana vitabu, madarasa wala madawati. Ukiuliza watakwambia 'Mungu anampa kila mmoja riziki yake'.
Tunapitia kipindi kigumu ni kweli lakini ni kama ndio tumeamshwa maana tungeliendelea kama tulivyokuwa ndio mambo aliyowahi kusema ZZK ya 'a failed state' ambapo wote tunajua zaidi ya billion 250 za escrow zilichukuliwa benk bila hata slips!
 
Nahisi ni hali ngumu waliyonayo wananchi maana kipato kwa kweli kimeshuka.na bado yatashuka sana.mm kuna mama mmoja ameuza kuku wake 200 kwa 1@ sh. 7500 .

Kuna wakati wafugaji walilalamika kuwa kuna mayai mengi yanaingia kutoka nchi jirani, hasa Kenya, na yanauzwa kwa bei ya chini kuliko wanayouza wafugaji wetu hapa nchini. Kwahiyo soko limevamiwa. Mimi huwa najiuliza, kwanini vitu vinavyoingizwa kutoka nje vingi vinakuwa na bei ya chini kuliko vya ndani?? Chukulia mfano sukari, saruji n.k. Hata kama itaingia kwa utaratibu wa kawaida na kodi zikalipwa bado bei yake ni chini kuliko vinavyozalishwa nchini
Kwetu pamerogwa si bure
 
Back
Top Bottom