Mkuu sio huko tu, hata mikoani morogoro debe 1000 hadi 800, na hizo ndiyo umepeleka sokoni. Shamban ndo usiseme. Wakulima wamesusa mashamba yao ya nyanya maana hakuna wateja.....kila mtu nyumbani anafuga na kulima nyanya ,tikiti nk sasa unadhani nani atanunua ya nani na ukata huu. kusini huko tenga au ndoo kubwa la nyanya 1500/= .......
Hayo mayai ya trey shs 5000 yanapatikana/yanauzwa sehemu gani?Habari wakuu, leo katika pilika pilika zangu za manunuzi ya mayai ya kisasa dar nimeshanga kukuta bei ya mayai sh 5000 wakati baada kama mwezi mmoja Uliopita ilikuwa 8500, sekta hii imekumbwa Nini?
MBONA NIMEENDA DUKANI ELF 11?Habari wakuu, leo katika pilika pilika zangu za manunuzi ya mayai ya kisasa dar nimeshanga kukuta bei ya mayai sh 5000 wakati baada kama mwezi mmoja Uliopita ilikuwa 8500, sekta hii imekumbwa Nini?
Cha kike...!MBONA NIMEENDA DUKANI ELF 11?
nilienda na toroli kabisa yaaniCha kike...!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nilienda na toroli kabisa yaani
wewe utakuwa umeingizwa chaka vizaHabari wakuu, leo katika pilika pilika zangu za manunuzi ya mayai ya kisasa dar nimeshanga kukuta bei ya mayai sh 5000 wakati baada kama mwezi mmoja Uliopita ilikuwa 8500, sekta hii imekumbwa Nini?
wapi mkuu maana nishapanga lengo la kula nusu tray kwa siku daily!Umeenda duka la rejareja ww.. Nenda kwa wauzaji wa mayai wale wanaorundika nje trey Zaidi ya Mia.