jiandae kua mjambaji bora wa kike Tanzania...duuuh afadhali kila siku nitakula nusu tray
Hakuna wazalishaji wenye uwezo wa kulilisha soko LA mayai ni kubwa sana
Bwaaahaaaaahaaaa, yaani nimecheka ile mbaya.jiandae kua mjambaji bora wa kike Tanzania...
Hahahahaaaaaaaaaaaajiandae kua mjambaji bora wa kike Tanzania...
kizungu zungu tuu kila mahali daaah !Mkuu sio huko tu, hata mikoani morogoro debe 1000 hadi 800, na hizo ndiyo umepeleka sokoni. Shamban ndo usiseme. Wakulima wamesusa mashamba yao ya nyanya maana hakuna wateja.
Ushauri mzuriTafuteni masoko nchi za nje msikomae na soko la ndani tu..
Nahisi ni hali ngumu waliyonayo wananchi maana kipato kwa kweli kimeshuka.na bado yatashuka sana.mm kuna mama mmoja ameuza kuku wake 200 kwa 1@ sh. 7500 .
Hiyo iko dunian kote kilichopo ni kuzuia tu na ninafikir inatokana na utofauti wa kodi na gharama za uendeshaji katika nchi husika.Nahisi ni hali ngumu waliyonayo wananchi maana kipato kwa kweli kimeshuka.na bado yatashuka sana.mm kuna mama mmoja ameuza kuku wake 200 kwa 1@ sh. 7500 .
Kuna wakati wafugaji walilalamika kuwa kuna mayai mengi yanaingia kutoka nchi jirani, hasa Kenya, na yanauzwa kwa bei ya chini kuliko wanayouza wafugaji wetu hapa nchini. Kwahiyo soko limevamiwa. Mimi huwa najiuliza, kwanini vitu vinavyoingizwa kutoka nje vingi vinakuwa na bei ya chini kuliko vya ndani?? Chukulia mfano sukari, saruji n.k. Hata kama itaingia kwa utaratibu wa kawaida na kodi zikalipwa bado bei yake ni chini kuliko vinavyozalishwa nchini
Mkuu yameingia mayai ya kichina ndio maana soko limeshukaLabda kuna kiwanda cha mayai kimezinduliwa.
Kwetu pamerogwa si bureNahisi ni hali ngumu waliyonayo wananchi maana kipato kwa kweli kimeshuka.na bado yatashuka sana.mm kuna mama mmoja ameuza kuku wake 200 kwa 1@ sh. 7500 .