unaweza kunisaidia contact kaka za hao wa mkuranga?Supply imeongezeka kuna watu wako mkuranga hapo wanazalisha mayai balaa at lowest price
Kuna jirani mchina hana hata kakuku kamoja lakini anauza mayai kinomanoma[emoji34][emoji35][emoji11]
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Labda anataga yeye mwenyewe, cheza na wachina wewe!
Serena Hotel wanauza Tray la mayai kiasi gani? Nahisi kutakuwa na uwiano hapo kama ulivyotajaKwa hiyo na ile blackforest cake itashuka bei pale sserena hotel?
Nina wasiwasi na hayo mayaiHabari wakuu, leo katika pilika pilika zangu za manunuzi ya mayai ya kisasa dar nimeshanga kukuta bei ya mayai sh 5000 wakati baada kama mwezi mmoja Uliopita ilikuwa 8500, sekta hii imekumbwa Nini?
Kaaaah nusu trey? Kwan We kengeduuuh afadhali kila siku nitakula nusu tray
Sukari ikipanda bei mteja atalalamika,mayai yakishuka bei wakati gharama za ufungaji ziko juu mfugaji lazima atalalamika.na wala syo swala la UKUTAsukari ikipanda mnalalamika mayai yakishuka bei bado ni shida, vipi wana UKUTA mbona hatuwaelewi
tatizo bei ya chakula cha kuku na madawa ya chajo haishukiFurahini, pesa inaanza kupanda thamani.