Wauzaji wa magari

Wauzaji wa magari

vivios

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
244
Reaction score
9
Naomba kujuzwa hapa dar ni yad gan wanauza gari nzuri in cheap price plz
 
Nenda Toyota Tanzania pale Posta ya zamani au barabara ya Nyerere utapata magari safi.
 
Au CFAO motors ..wana latest Amarok na nissan patrol year 2013 ... ni mazuri na imara kwa kila mtanzania

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
nenda buguruni (sukita) kuna yard mpya wanauza gari bei poa sana na kuna aina nyingi za magari nadhani ndio yard kubwa hapa dar kwa sasa
 
nenda buguruni (sukita) kuna yard mpya wanauza gari bei poa sana na kuna aina nyingi za magari nadhani ndio yard kubwa hapa dar kwa sasa

Thanks mkuu
 
ndugu yangu.....utapata majibu ambayo hukuwaza kama utajibiwa......
wewe sema unataka gari gani.....biashara iwekwe mezani.....

Naitaji toyota paso na suzuki carry
 
Habari zenu wakuu..., Naomba mnijulishe mahala ambapo naweza kuipata gari aina ya Datsun 510 au kama kuna mtu anaiuza...
 
Back
Top Bottom