vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 Mar 28, 2013 #1 Naomba kujuzwa hapa dar ni yad gan wanauza gari nzuri in cheap price plz
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,089 Mar 28, 2013 #2 Nenda Toyota Tanzania pale Posta ya zamani au barabara ya Nyerere utapata magari safi.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Mar 28, 2013 #3 vivios said: Naomba kujuzwa hapa dar ni yad gan wanauza gari nzuri in cheap price plz Click to expand... ndugu yangu.....utapata majibu ambayo hukuwaza kama utajibiwa...... wewe sema unataka gari gani.....biashara iwekwe mezani.....
vivios said: Naomba kujuzwa hapa dar ni yad gan wanauza gari nzuri in cheap price plz Click to expand... ndugu yangu.....utapata majibu ambayo hukuwaza kama utajibiwa...... wewe sema unataka gari gani.....biashara iwekwe mezani.....
sirdelta JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 306 Reaction score 82 Mar 28, 2013 #4 Au CFAO motors ..wana latest Amarok na nissan patrol year 2013 ... ni mazuri na imara kwa kila mtanzania Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Au CFAO motors ..wana latest Amarok na nissan patrol year 2013 ... ni mazuri na imara kwa kila mtanzania Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
1 19don JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 672 Reaction score 206 Mar 28, 2013 #5 nenda buguruni (sukita) kuna yard mpya wanauza gari bei poa sana na kuna aina nyingi za magari nadhani ndio yard kubwa hapa dar kwa sasa
nenda buguruni (sukita) kuna yard mpya wanauza gari bei poa sana na kuna aina nyingi za magari nadhani ndio yard kubwa hapa dar kwa sasa
vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 Mar 28, 2013 Thread starter #6 19don said: nenda buguruni (sukita) kuna yard mpya wanauza gari bei poa sana na kuna aina nyingi za magari nadhani ndio yard kubwa hapa dar kwa sasa Click to expand... Thanks mkuu
19don said: nenda buguruni (sukita) kuna yard mpya wanauza gari bei poa sana na kuna aina nyingi za magari nadhani ndio yard kubwa hapa dar kwa sasa Click to expand... Thanks mkuu
vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 Mar 28, 2013 Thread starter #7 Preta said: ndugu yangu.....utapata majibu ambayo hukuwaza kama utajibiwa...... wewe sema unataka gari gani.....biashara iwekwe mezani..... Click to expand... Naitaji toyota paso na suzuki carry
Preta said: ndugu yangu.....utapata majibu ambayo hukuwaza kama utajibiwa...... wewe sema unataka gari gani.....biashara iwekwe mezani..... Click to expand... Naitaji toyota paso na suzuki carry
vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 Mar 28, 2013 Thread starter #8 Joseph said: Nenda Toyota Tanzania pale Posta ya zamani au barabara ya Nyerere utapata magari safi. Click to expand... Ok poa poa
Joseph said: Nenda Toyota Tanzania pale Posta ya zamani au barabara ya Nyerere utapata magari safi. Click to expand... Ok poa poa
R Ramor89 New Member Joined Apr 7, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Apr 9, 2013 #9 Habari zenu wakuu..., Naomba mnijulishe mahala ambapo naweza kuipata gari aina ya Datsun 510 au kama kuna mtu anaiuza...
Habari zenu wakuu..., Naomba mnijulishe mahala ambapo naweza kuipata gari aina ya Datsun 510 au kama kuna mtu anaiuza...
Davie S.M JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 748 Reaction score 228 Apr 9, 2013 #10 CMC ndo habari ya mjini
R Ramor89 New Member Joined Apr 7, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Apr 10, 2013 #11 Mkuu CMC wanapatikana wapi kwa hapa Dsm..!?