Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kwanza hawajawahi kuiona hiyo timu, hata ikicheza hawajawahi kuionaHaichezi sababu inaogopa aibu kama wanajiamini si wacheze tuwaone?mnacheza na vitimu vya daraja la pili sasa hiyo ni timu au?
Nyie si mmesajiri watoto? tupo kwenye kampeni ya kutoa dose kwa watoto tumeanza na hao watoto wa Kaizer andaeni makalio ni mwendo wa kugawa wastani kwa idadiWale watoto watoto Nabi alikuwa anatengeneza uzoefu wa vijana wadogo.
Sikiweki mkuu, kama unakihitaji mno Google boss ila kwa ufupi kimeshinda mechi 9 kati ya 30, droo sijui 9 na kufungwa mechi zilizobaki. Kilikuwa na -5 goals top score wake ana goli 4 sijui 3. Nabi kaletwa kurudisha makali ya Kaizer hivyo kuchezesha baadhi ya vijana wadogo yupo sawa.Si ndio ukiweke hapa. Si unakijua kiweke hapa
Kumbe hujaiona. Basi nikukumbushe kuwa kina Saidoo hawapo.Haichezi sababu inaogopa aibu kama wanajiamini si wacheze tuwaone?mnacheza na vitimu vya daraja la pili sasa hiyo ni timu au?
Walienda uturuki piaSikiweki mkuu, kama unakihitaji mno Google boss ila kwa ufupi kimeshinda mechi 9 kati ya 30, droo sijui 9 na kufungwa mechi zilizobaki. Kilikuwa na -5 goals top score wake ana goli 4 sijui 3. Nabi kaletwa kurudisha makali ya Kaizer hivyo kuchezesha baadhi ya vijana wadogo yupo sawa.
Makalio tena? Hahaha.Nyie si mmesajiri watoto? tupo kwenye kampeni ya kutoa dose kwa watoto tumeanza na hao watoto wa Kaizer andaeni makalio ni mwendo wa kugawa wastani kwa idadi
Mkuu upo Moshi au ni jina tu? Tarehe 8 MUNGU akitupa uhai nitatazama mabatiki yanavyotafutana nikiwa karibu na huo mji.Tarehe 8 itaongea, tunachojua Dube halali na njaa!!
Makolo leteni timu A hatutaki visingizio !!
🤣🤣🤣 bila shaka atakiweka hapa.Mwambie aandae kikosi cha kwanza cha Makolo FC Kaizer tumeshamalizana nao
Batiki batiki mbona hata hichi kikosi kitawafaa.🤣🤣🤣 bila shaka atakiweka hapa.