Wavaa vitenge mmeshamazaliza kucheza na wacheza Amapiano sasa hatutaki visingizio kuwa mlikuwa na uchovu wa preseason siku ya mechi ya ngao ya hisani

Haichezi sababu inaogopa aibu kama wanajiamini si wacheze tuwaone?mnacheza na vitimu vya daraja la pili sasa hiyo ni timu au?
Kwanza hawajawahi kuiona hiyo timu, hata ikicheza hawajawahi kuiona
 
Si ndio ukiweke hapa. Si unakijua kiweke hapa
Sikiweki mkuu, kama unakihitaji mno Google boss ila kwa ufupi kimeshinda mechi 9 kati ya 30, droo sijui 9 na kufungwa mechi zilizobaki. Kilikuwa na -5 goals top score wake ana goli 4 sijui 3. Nabi kaletwa kurudisha makali ya Kaizer hivyo kuchezesha baadhi ya vijana wadogo yupo sawa.
 
Haichezi sababu inaogopa aibu kama wanajiamini si wacheze tuwaone?mnacheza na vitimu vya daraja la pili sasa hiyo ni timu au?
Kumbe hujaiona. Basi nikukumbushe kuwa kina Saidoo hawapo.
 
Tarehe 8 itaongea, tunachojua Dube halali na njaa!!
Makolo leteni timu A hatutaki visingizio !!
 
Sikiweki mkuu, kama unakihitaji mno Google boss ila kwa ufupi kimeshinda mechi 9 kati ya 30, droo sijui 9 na kufungwa mechi zilizobaki. Kilikuwa na -5 goals top score wake ana goli 4 sijui 3. Nabi kaletwa kurudisha makali ya Kaizer hivyo kuchezesha baadhi ya vijana wadogo yupo sawa.
Walienda uturuki pia
 
Tarehe 8 itaongea, tunachojua Dube halali na njaa!!
Makolo leteni timu A hatutaki visingizio !!
Mkuu upo Moshi au ni jina tu? Tarehe 8 MUNGU akitupa uhai nitatazama mabatiki yanavyotafutana nikiwa karibu na huo mji.
 
🤣🤣🤣 bila shaka atakiweka hapa.
Batiki batiki mbona hata hichi kikosi kitawafaa.
Screenshot_20240728-193637_WhatsApp.jpg
 
Umekuja fasta mpaka mabwana zako wamekasirika hawajakutuma hivyo
 
Back
Top Bottom