Kuna tetesi kuwa magaidihawakuwahi kuvamia Westgate; ni mkakati uliopangwa na kutekelezwa na wanausala waSerikali ya Kenya kwa lengo mahsusi la kuwaokoa Uhuru na Ruto dhidi ya mashitakaya ICC.
Kuna hoja nyingi,lakini angalia hoja 2 hapo chini:
- Hadi sasa Serikali ya Kenya haijaonesha magaidi waliokamatwa au kuuawa.
- Tangu janga la Westgate wapambe wa Uhuru na Ruto wameendesha kampeni (vyombo vya habari na diplomasia AU and UNSC) ya Uhuru na Ruto wakitiaka ICC isitishe mashitaka kuwaruhusu Uhuru na Ruto kudhibiti usalama nchini humo.
threads za kijinga kabisa... people died halafu mnakubali kutumika na mitandao ya onions hovyohovyo
Mkuu if you don't like change the chanel!
Yaani rais na makamu wake wapange mauaji??
Sio kweli ukizingatia kundi la al shabab limekua likiindama kenya tangu majeshi ya kenya yalipokwenda Somalia.
i will change the channel, but not without a parting shot!! the thread and idea behind silly and imbechilli conspiracy theorists wannabes
kwani wewe ndie uliyeleta mada?? au unatumia ID mbiliI am not advocating anything here other than those who support various conspiracy theories need to address this issue. Any conspiracy theory that involves a large amount of people, or sophisticated coordination seems logically implausible. People do not keep secrets, especially if many people are involved, and Governments are inept at doing the most basic tasks.
So, when discussing conspiracy theories, please address this issue. Without addressing it I believe there are serious logical holes in any assertion