Wavamizi wa WestGate ni Uhuru na Ruto?

Wavamizi wa WestGate ni Uhuru na Ruto?

Sophist

Platinum Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
4,486
Reaction score
3,408
Kuna tetesi kuwa magaidihawakuwahi kuvamia Westgate; ni mkakati uliopangwa na kutekelezwa na wanausala waSerikali ya Kenya kwa lengo mahsusi la kuwaokoa Uhuru na Ruto dhidi ya mashitakaya ICC.

Kuna hoja nyingi,lakini angalia hoja 2 hapo chini:

  1. Hadi sasa Serikali ya Kenya haijaonesha magaidi waliokamatwa au kuuawa.

  1. Tangu janga la Westgate wapambe wa Uhuru na Ruto wameendesha kampeni (vyombo vya habari na diplomasia – AU and UNSC) ya Uhuru na Ruto wakitiaka ICC isitishe mashitaka kuwaruhusu Uhuru na Ruto kudhibiti usalama nchini humo.

Akili nyingine zinakutosha mwenyewe! Umepiga mswaki leo?
 
Only kichaa anaweza kuwaza ujinga, upimbi, ufirauni na ubazazi kama huu. Hizi ni akili za ki-Mwigulu Nchemba kabisa. Mnafikiri kwa kuwa mnawamwagia watu wenu tindikali na kutumia jeshi lenu kulipua wananchi wenu kwa bomu ndio ujinga huo wa kimwigulu umeenda hadi Kenya?? Kakojoe ulale pimbi weee, heshimu watu waliokufa kwenye ile tragedy.
 
threads za kijinga kabisa... people died halafu mnakubali kutumika na mitandao ya onions hovyohovyo
 
I don't like the duo......but this would be "far fetched"!
 
du wadau kwa conspiracy theories hawajambo khaaa....anywe ngoja niendelee kufuatilia
 
Kuna tetesi kuwa magaidihawakuwahi kuvamia Westgate; ni mkakati uliopangwa na kutekelezwa na wanausala waSerikali ya Kenya kwa lengo mahsusi la kuwaokoa Uhuru na Ruto dhidi ya mashitakaya ICC.

Kuna hoja nyingi,lakini angalia hoja 2 hapo chini:

  1. Hadi sasa Serikali ya Kenya haijaonesha magaidi waliokamatwa au kuuawa.

  1. Tangu janga la Westgate wapambe wa Uhuru na Ruto wameendesha kampeni (vyombo vya habari na diplomasia – AU and UNSC) ya Uhuru na Ruto wakitiaka ICC isitishe mashitaka kuwaruhusu Uhuru na Ruto kudhibiti usalama nchini humo.

vipi kuhusu yule kiongozi wa Alshabaab aliyekuwa akitoa matamko kuwa vijana wao ndio wameiteka westgate?
 
Yaani rais na makamu wake wapange mauaji??
Sio kweli ukizingatia kundi la al shabab limekua likiindama kenya tangu majeshi ya kenya yalipokwenda Somalia.
 
Mkuu if you don't like change the chanel!

i will change the channel, but not without a parting shot!! the thread and idea behind silly and imbechilli conspiracy theorists wannabes
 
Yaani rais na makamu wake wapange mauaji??
Sio kweli ukizingatia kundi la al shabab limekua likiindama kenya tangu majeshi ya kenya yalipokwenda Somalia.

You Probably Don't Listen as Effectively as You Think You Do.You think an africa goverments cares of their people even hata wakifa 1000 who cares watawazika tu done deal
 
i will change the channel, but not without a parting shot!! the thread and idea behind silly and imbechilli conspiracy theorists wannabes

I am not advocating anything here other than those who support various conspiracy theories need to address this issue. Any conspiracy theory that involves a large amount of people, or sophisticated coordination seems logically implausible. People do not keep secrets, especially if many people are involved, and Governments are inept at doing the most basic tasks.

So, when discussing conspiracy theories, please address this issue. Without addressing it I believe there are serious logical holes in any assertion
 
.....ongeza hili la kwako kama moja ya mashtaka yao ya huko the hague..bi fatou atakuelewa..
.....oga ukalale
 
Haya bwana,mimi simo naogopa ya mtaani...................kimya kimya
 
I am not advocating anything here other than those who support various conspiracy theories need to address this issue. Any conspiracy theory that involves a large amount of people, or sophisticated coordination seems logically implausible. People do not keep secrets, especially if many people are involved, and Governments are inept at doing the most basic tasks.

So, when discussing conspiracy theories, please address this issue. Without addressing it I believe there are serious logical holes in any assertion
kwani wewe ndie uliyeleta mada?? au unatumia ID mbili

naona umeishupalia mno
 
Back
Top Bottom