Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Kuna tetesi kuwa magaidihawakuwahi kuvamia Westgate; ni mkakati uliopangwa na kutekelezwa na wanausala waSerikali ya Kenya kwa lengo mahsusi la kuwaokoa Uhuru na Ruto dhidi ya mashitakaya ICC.
Kuna hoja nyingi,lakini angalia hoja 2 hapo chini:
Kuna hoja nyingi,lakini angalia hoja 2 hapo chini:
- Hadi sasa Serikali ya Kenya haijaonesha magaidi waliokamatwa au kuuawa.
- Tangu janga la Westgate wapambe wa Uhuru na Ruto wameendesha kampeni (vyombo vya habari na diplomasia AU and UNSC) ya Uhuru na Ruto wakitiaka ICC isitishe mashitaka kuwaruhusu Uhuru na Ruto kudhibiti usalama nchini humo.