Wavumbuzi 16 kutoka nchi saba za Afrika wanawania Tuzo ya Ubunifu katika masuala ya Uhandisi Afrika kwa mwaka 2025 ambapo nchi 30
zilituma maombi.
Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2014, na ni tuzo kubwa zaidi ya ubunifu wa uhandisi barani Afrika, ikitoa
ufadhili, uongozi, na mafunzo ili kuwasaidia wajasiriamali kuendeleza ubunifu wao.
Waombaji wa 2025 wanaangazia changamoto kubwa katika sekta za afya, elimu, na ustahimilivu kwa
kutumia uvumbuzi wa kisasa katika huduma za watoto wachanga, teknolojia ya kilimo ya kisasa, uchakataji na nishati ya kijani.
Washindi watatangazwa Septemba, na fainali itafanyika Oktoba nchini Senegal.
Mshindi atapata £ 25,000, huku wa pili na wa tatu wakipewa £ 10,000 kila mmoja. (BBCSWAHILI)
NOTE:
Nilitamani Tanzania tungekuwa na angalau ata mshiriki mmoja. Tatizo ni nini?
*Je tuna mfumo wa elimu husio wezeshi kwa vijana kufanya gunduzi?
*Je vijana wamesahau wajibu wao wao kama taifa la leo na kesho?
*Je mazingira tuliyonayo si rafiki kwa vijana kufanya gunduzi?

Attachments
-
Screenshot_20250327-081604.jpg284.2 KB · Views: 26 -
Screenshot_20250327-081628.jpg339 KB · Views: 28 -
Screenshot_20250327-081729.jpg170.6 KB · Views: 27 -
Screenshot_20250327-081924.jpg322.3 KB · Views: 29 -
Screenshot_20250327-081945.jpg240.3 KB · Views: 27 -
Screenshot_20250327-081749.jpg385.3 KB · Views: 27 -
Screenshot_20250327-081810.jpg290.3 KB · Views: 22 -
Screenshot_20250327-081827.jpg289.2 KB · Views: 32