PostGE2025 Wavuruga amani walimuua Ali Kibao kama street dog. Watalipia walahi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Kila ngazi itapandwa. Hakuna cha Nywinywi sio. Mwaua watu kama mbwa koko mwasema tusilete nywinywi. Mwaua baba zetu mwatuita wahaini tukisema. Hehee!

Mwafunga mitandao ili dunia isijue. Hehee! Mwatishia watu maisha kisa nye ni immortal hamfi. Mayii! Nye miungu Nye. Mwatumia kodi zetu kutuua hehee! Nacheka miye. Mwasema kuhusu mali. Mnamali Nye. Hizo mzoibia watanzania mwaita mali.

Nye mwaua watu mwalipana ili mjenge mahorofa Nye. Hizo mali zenyu ni damu za ndugu zetu. Jasho heheee mayi sijui walahi. Na bado. Mwafikiri twapoa. Tupoe hatujui ndugu mliowaua wako wapi. Heehe.

Mwajua maumivu hayo hamjui Nye. Na bado
 
Mauaji ya kikatili ya Mzee wetu Ali Kibao Freeman Mbowe alitoa assist huyu naye tarehe 9dec asalimiwe
 
Kila ngazi itapandwa. Hakuna cha Nywinywi sio. Mwaua watu kama mbwa koko mwasema tusilete nywinywi. Mwaua baba zetu mwatuita wahaini tukisema. Hehee!

Mwafunga mitandao ili dunia isijue. Hehee! Mwatishia watu maisha kisa nye ni immortal hamfi. Mayii! Nye miungu Nye. Mwatumia kodi zetu kutuua hehee! Nacheka miye. Mwasema kuhusu mali. Mnamali Nye. Hizo mzoibia watanzania mwaita mali.

Nye mwaua watu mwalipana ili mjenge mahorofa Nye. Hizo mali zenyu ni damu za ndugu zetu. Jasho heheee mayi sijui walahi. Na bado. Mwafikiri twapoa. Tupoe hatujui ndugu mliowaua wako wapi. Heehe.

Mwajua maumivu hayo hamjui Nye. Na bado
Damu ya Ali Kibao haitaenda hivi hivi lazima walipe. Walimuua jamaa kikatili sana.
 
Kulia kupokezena nyeee nyee kwani tukipeleka misiba kwao watatulaume nyiee na washafika menopause wanashindana na sie balehe ya kwanza hatuna cha kupoteza nyee
 
Back
Top Bottom