October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Siku nyingine kuwa makini TANGA hiyoo sio Znz nimekaa palee angalia tena uandishiHabari ya hapo Zanzibar mkuu
Damu ya Ali Kibao haitaenda hivi hivi lazima walipe. Walimuua jamaa kikatili sana.Kila ngazi itapandwa. Hakuna cha Nywinywi sio. Mwaua watu kama mbwa koko mwasema tusilete nywinywi. Mwaua baba zetu mwatuita wahaini tukisema. Hehee!
Mwafunga mitandao ili dunia isijue. Hehee! Mwatishia watu maisha kisa nye ni immortal hamfi. Mayii! Nye miungu Nye. Mwatumia kodi zetu kutuua hehee! Nacheka miye. Mwasema kuhusu mali. Mnamali Nye. Hizo mzoibia watanzania mwaita mali.
Nye mwaua watu mwalipana ili mjenge mahorofa Nye. Hizo mali zenyu ni damu za ndugu zetu. Jasho heheee mayi sijui walahi. Na bado. Mwafikiri twapoa. Tupoe hatujui ndugu mliowaua wako wapi. Heehe.
Mwajua maumivu hayo hamjui Nye. Na bado
Shukran sana mkuuSiku nyingine kuwa makini TANGA hiyoo sio Znz nimekaa palee angalia tena uandishi
Likenya hili halijui kiswahiliDuh... Ujumbe mzuri ila tumia Kiswahili chepesi kilichozoeleka na Watanganyika
Huyo anawaingiza chaka ninyi askari wa doria mitandaoni...na mmejaa kwenye chaka la miba๐๐๐Siku nyingine kuwa makini TANGA hiyoo sio Znz nimekaa palee angalia tena uandishi
Kumbe mimi ni askari doria mtandaoni na sijui Guys mnanisingizia guys hey guyyys natetemeka guyssHuyo anawaingiza chaka ninyi askari wa doria mitandaoni...na mmejaa kwenye chaka la miba๐๐๐