Konche vipi? Nipigie SAA kumi unipe habari[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila kitu katika maisha kinahitaji nidhamu,ulaji,vilevi,matumizi etc etc,na lazima uwe na principles,usipokuwa nazo utayumbushwa na kufanya mambo hovyo,mimi nimekaa na walevi na wanywaji maisha yangu yote,natoka mitoko na party na shuhuli nahudhuria na sijawahi onja pombe ya aina yoyote.DisciplineMimi Starehe nilizonazo zinanitosha, siongezi nyingine, zaidi zaidi, ntapunguza hizi nilizonazo.
Huyo artist tulimpoteza kwa sababu ya madawa, shida inakuaga unaanza taratibu baadae unaongeza madawa, na ukishaingia kwenye madawa tu, tunakupoteza.
pamoja na Canada,lesotho na karibu nusu ya majimbo ya marekani,na hivi sasa wanataka kulegalize nchi nzima,pia baadhi ya maeneo ya uholanziUruguay ndio nchi pekee iliyo legalize Bangi unaweza panda hata kwako km MauaView attachment 868646
Unamoka nikutafute tumoke?Piteni kushoto
Iko safi sana.. Vichwa vya ukwelikitu cha kaburu hicho mzee baba,straight outa zulu land.
Hivi what would it take to legalise it hapa kwetu?pamoja na Canada,lesotho na karibu nusu ya majimbo ya marekani,na hivi sasa wanataka kulegalize nchi nzima,pia baadhi ya maeneo ya uholanzi
generation mpya ya viongozi,mpaka hawa wa enzi za mwalimu waishe wote madarakani.Hivi what would it take to legalise it hapa kwetu?
Mpaka Muingereza atakapo legalize si unajua ndio mtawala wetuHivi what would it take to legalise it hapa kwetu?
Sie tusiovuta tunacomment humu humu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila kitu katika maisha kinahitaji nidhamu,ulaji,vilevi,matumizi etc etc,na lazima uwe na principles,usipokuwa nazo utayumbushwa na kufanya mambo hovyo,mimi nimekaa na walevi na wanywaji maisha yangu yote,natoka mitoko na party na shuhuli nahudhuria na sijawahi onja pombe ya aina yoyote.Discipline
Huyu hajakaa nao magoon, mwenyewe utajikataa katika vikao vyao, yani unywe pepsi wenyewe wanakunywa whisky na bangi si wanakutimua kilingeni. Kama huko kwenye unga si ndio wanaku mixia ohoo,discipline ni kutoenda kabisa kama hautaki hayo mamboKuna vingine ni No go zone, madawa hayaitaji discipline pamoja na bangi ikiwemo
Naongea out of expirience my guy,and that expirience is extensive.point ya msingi ni kuwa its not for everyone.Kuna vingine ni No go zone, madawa hayaitaji discipline pamoja na bangi ikiwemo
Eti sijakaa na magoon wakati mi mwenyewe goon.Wewe hujanielewa,nimezungumzia discipline kwenye kujiwekea mipaka.Na wewe mpaka kwenda kijiwe cha wala unga unatafuta nini,na aliyekwambia kila mtu anavutia bange maskani nani.Huyu hajakaa nao magoon, mwenyewe utajikataa katika vikao vyao, yani unywe pepsi wenyewe wanakunywa whisky na bangi si wanakutimua kilingeni. Kama huko kwenye unga si ndio wanaku mixia ohoo,discipline ni kutoenda kabisa kama hautaki hayo mambo
ukiwa maeneo ya ugenini njia rahisi ya kupata kaya ni kwa kupitia madereva bodaboda.wazee nataka dawa... nipo tabata.. huku aliyekaribu na maeneo haya anichek maana nataka nilipue usiku huu ... kama hayupo basi.. kesho asbuh ntaenda maporini huko ntazipata
ukiwa maeneo ya ugenini njia rahisi ya kupata kaya ni kwa kupitia madereva bodaboda.
daah.. kuna boya kaja maskan hapa kazibeba zote,,,... nilijua zimebak kumbe hakuna kitu... hawa bodaboda wa huku wapuuzi tu wanajua gesti tu haya makinikia hawayajui.. ngoja nitulie kesho ntapata tuukiwa maeneo ya ugenini njia rahisi ya kupata kaya ni kwa kupitia madereva bodaboda.