Wavutaji wote hapa

Wavutaji wote hapa

Mimi Starehe nilizonazo zinanitosha, siongezi nyingine, zaidi zaidi, ntapunguza hizi nilizonazo.
Huyo artist tulimpoteza kwa sababu ya madawa, shida inakuaga unaanza taratibu baadae unaongeza madawa, na ukishaingia kwenye madawa tu, tunakupoteza.
Kila kitu katika maisha kinahitaji nidhamu,ulaji,vilevi,matumizi etc etc,na lazima uwe na principles,usipokuwa nazo utayumbushwa na kufanya mambo hovyo,mimi nimekaa na walevi na wanywaji maisha yangu yote,natoka mitoko na party na shuhuli nahudhuria na sijawahi onja pombe ya aina yoyote.Discipline
 
Kuna vingine ni No go zone, madawa hayaitaji discipline pamoja na bangi ikiwemo
 
Huyu hajakaa nao magoon, mwenyewe utajikataa katika vikao vyao, yani unywe pepsi wenyewe wanakunywa whisky na bangi si wanakutimua kilingeni. Kama huko kwenye unga si ndio wanaku mixia ohoo,discipline ni kutoenda kabisa kama hautaki hayo mambo
 
Naongea out of expirience my guy,and that expirience is extensive.point ya msingi ni kuwa its not for everyone.
 
Huyu hajakaa nao magoon, mwenyewe utajikataa katika vikao vyao, yani unywe pepsi wenyewe wanakunywa whisky na bangi si wanakutimua kilingeni. Kama huko kwenye unga si ndio wanaku mixia ohoo,discipline ni kutoenda kabisa kama hautaki hayo mambo
Eti sijakaa na magoon wakati mi mwenyewe goon.Wewe hujanielewa,nimezungumzia discipline kwenye kujiwekea mipaka.Na wewe mpaka kwenda kijiwe cha wala unga unatafuta nini,na aliyekwambia kila mtu anavutia bange maskani nani.
 
wazee nataka dawa... nipo tabata.. huku aliyekaribu na maeneo haya anichek maana nataka nilipue usiku huu ... kama hayupo basi.. kesho asbuh ntaenda maporini huko ntazipata
 
ukiwa maeneo ya ugenini njia rahisi ya kupata kaya ni kwa kupitia madereva bodaboda.
 
daah.. kuna boya kaja maskan hapa kazibeba zote,,,... nilijua zimebak kumbe hakuna kitu... hawa bodaboda wa huku wapuuzi tu wanajua gesti tu haya makinikia hawayajui.. ngoja nitulie kesho ntapata tu
 
Back
Top Bottom