Wavutaji wote hapa

Bangi inakufanya uwe serious na kile unachokifanya mambo mengine huwa unapotezea tu
 
Ingekuwa hivyo Bob asingeweza kufyatua matofali tena tofali lingine kafyatua na miss world.
 
Kijiti ni kitu kizuri sana kinakufanya unakuwa mtulivu na mchapa kazi sana,
 
Umebonga factire Arifu.
 
Nawakilisha kutoka pande za Ujiji-Kigoma...
Nakiwashaaaa huku natizama maji ziwa Tanganyika na kiupepo flani iviiiii.......
Na kitu cha Juice pembeni.
Raha sanaaaaa.....
Jah never die, if die never decay, if decay will perfume nigger...
 
oi oi i feel u rasta,good vibes hapo kama eden
 
Nawakilisha kutoka pande za Ujiji-Kigoma...
Nakiwashaaaa huku natizama maji ziwa Tanganyika na kiupepo flani iviiiii.......
Na kitu cha Juice pembeni.
Raha sanaaaaa.....
Jah never die, if die never decay, if decay will perfume nigger...
nami moda hii nimepoa na wana maskani,miti ya kutosha ni sauti za ndege tu ,upepo flani.tunapata dawa za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…