Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,010
- 4,763
Bangi inakufanya uwe serious na kile unachokifanya mambo mengine huwa unapotezea tuIla nasikia kunako eti wanakuwa mdebwedo, eti ile kitu inawafanya wasipende kunjunja. Kuna jamaa juzi tu alikuwa ananiambia hivyo, hata kwa mkewe hana wivu kabisa, ashawahi kulala na shemeji zake kitanda kimoja for a week bila bila...
Nikajisemea...looooh!!