Wavutaji wote hapa

Wavutaji wote hapa

Ila nasikia kunako eti wanakuwa mdebwedo, eti ile kitu inawafanya wasipende kunjunja. Kuna jamaa juzi tu alikuwa ananiambia hivyo, hata kwa mkewe hana wivu kabisa, ashawahi kulala na shemeji zake kitanda kimoja for a week bila bila...

Nikajisemea...looooh!!
Bangi inakufanya uwe serious na kile unachokifanya mambo mengine huwa unapotezea tu
 
.
20180927_212958.jpg
 
Ila nasikia kunako eti wanakuwa mdebwedo, eti ile kitu inawafanya wasipende kunjunja. Kuna jamaa juzi tu alikuwa ananiambia hivyo, hata kwa mkewe hana wivu kabisa, ashawahi kulala na shemeji zake kitanda kimoja for a week bila bila...

Nikajisemea...looooh!!
Ingekuwa hivyo Bob asingeweza kufyatua matofali tena tofali lingine kafyatua na miss world.
 
Kijiti ni kitu kizuri sana kinakufanya unakuwa mtulivu na mchapa kazi sana,
 
mida hii yajioni kijua kinaza ndio mida ya kuchill,pembeni mirinda nyeusi na tunakula kitu taratibu yani kama tupo wakanda,na pembeni tunapiga maplaylist ya hatari....[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kama weed mazee,wazee wagambe hapa wakasome [emoji23][emoji23]
Umebonga factire Arifu.
 
Nawakilisha kutoka pande za Ujiji-Kigoma...
Nakiwashaaaa huku natizama maji ziwa Tanganyika na kiupepo flani iviiiii.......
Na kitu cha Juice pembeni.
Raha sanaaaaa.....
Jah never die, if die never decay, if decay will perfume nigger...
 
oi oi i feel u rasta,good vibes hapo kama eden
 
Nawakilisha kutoka pande za Ujiji-Kigoma...
Nakiwashaaaa huku natizama maji ziwa Tanganyika na kiupepo flani iviiiii.......
Na kitu cha Juice pembeni.
Raha sanaaaaa.....
Jah never die, if die never decay, if decay will perfume nigger...
nami moda hii nimepoa na wana maskani,miti ya kutosha ni sauti za ndege tu ,upepo flani.tunapata dawa za kutosha
 
Back
Top Bottom