Wavutaji wote hapa

Wavutaji wote hapa

Kipindi fulani nikiwa mtoto niliwahi Kuchukua majani fulani hivi makavu nikayasokota kama bangi nikampa dogo mmoja avute.

Aisee tangu siku ile nilijua kuwa kuna majani zaidi ya bangi yule dogo alizirai.
angalia usije ukalia mchana kweupe
 
Nasikia wavutaji nyie mkiwa kwa bed kuna shughuli
Usijaribu kuingia kwenye anga hizi....subiri nikupe story moja wakati nipo Dom (makao makuu ya nchi) hapo bado sijaanza ku-inhale nilikuwa na mshikaji wangu mtu wa Arachuga kila siku baada ya kutoka shule tunaenda kupiga tizi (mpira) km kilometers 5 kutoka nyumbani tulikuwa tunatumia usafiri wa Baiskeli moja shipa ile mbaaya.......
....sasa wakati tunatoka home tukiwa tumepakizana jamaa anashindwa kabisa kuendesha kutokana na ubovu wa ile bycle anaendesha taratiibu sasa kuna chaka moja tukifika jamaa anasimamisha bycle ananiambia nisubiri nakuja anaingia porini....kipindi hicho mi bado junk nipo formless yeye yupo formtatu....basi jamaa akitoka huko zile nguvu sijui huwa anazipata wapi za kuendesha baiskeli spidi kubwa hajali chochote si mteremko si korongo yaani mi huku nyuma moyo unaenda mbio kwa kuhofia ajali......sasa fikiria we mdada unakutana na watu km sisi utakimbia na Picchu mkononi.... 😀 😀 😀
 
Hahaha mkuu bwana mm nilijua unazungumzia kuhusu kukulana kitandani
 
baada ya kula kitu cha colombii ama pantera, ukiiangalia hii picha ndani ya sekunde mbili unaweza ukaona kama nazingua
 
Attachments

  • father kiss.jpg
    father kiss.jpg
    29.9 KB · Views: 63
Back
Top Bottom