Tangu nimeanza hii sakramenti nimeyaona maisha katika mwanga ulio bora.Eeenh
Na mm nakazia na pombe usiache endelea navyo vyote
Tangu nimeanza hii sakramenti nimeyaona maisha katika mwanga ulio bora.
Sio mgomvi tena, najua kupenda, nimekuwa na hekima kidogo na pia nayafurahia maisha
Weed smokers wengi wanakuaga wapole sana
Nilishawahi vuta, nna rafiki wanavuta kuna lounge wanamix na shisha likianza vutwa hapo watoto wanalegea wenyewe!.
Kama unatumia sema nikupeleke bebe me asante ila nishaacha!.
Si unajua nawapenda hao watu lakini.Eenh
We dada ujue una ushuhuda
Babe hapana sijawahi na sitawahi mm kilevi changu heineken nilewe nikuchekee weeeh niongeee nikuchezeeeMe sivuti mama, ila ntafurahi kukuona unavyokuwa ukitumia!.🙂😛
Najua dada halafu jicho jekundu navuta picha yule yuleeeeee hSi unajua nawapenda hao watu lakini.
AmeenUbarikiwe mkuu
Aibu mingi mingi...Babe hapana sijawahi na sitawahi mm kilevi changu heineken nilewe nikuchekee weeeh niongeee nikuchezeee
Aibu mingi mingi...
[emoji23][emoji23] Nilikuwa nikilivuta nakua kama mepigwa ganzi, mpaka nikalale kama nusu saa ndo nikae fresh nikaona starehe gani hizi!.. Tutakuja uana tu!Hiyo shisha ndio siilewagi kuna siku nipo na rafiki zangu kila mtu namtungi wake nikasema ngoja nijaribu kwakweli imenishinda
Pombe acha tu nayo🙂[emoji23][emoji23] Aibu kama yote cc @Mzigua90
wiz khalifa ft snoop dog-young wild and freetupieni ngoma mnazopenda kusikiliza mkiwa mnapata dawa mazee