Wavutaji wote hapa

Wavutaji wote hapa

Weed huwa nikipiha nakula sana hata chakula cha watu watatu

Then nalala kinoma huwa napiga kama nina stress na usingiz sipat

Kitu ni gambe kimiminika KAMA NA DEAL LA BIASHARA LA MTU NIKIPIG MITUNGI YA GAS MITANO BIASHARA LAZIME ILETE FAIDA

Nikiamka mapema nikishtua zangu fastjet tatu na nikianza napiga kama kichaa ila weed aisee napiga nikitaka kupumzika

NITAENDELEA KUMUABUDU ALIE GUNDUA POMBE MAANA HUNIPA AKILIA

hata chuo COET nikiwa sober mtihan nafail
 
Nimekulaga shada mpaka kichwa ikawa sugu hata nimoke pull mia sisikii stim yoyote.

Nimeamua kuikacha tu.
Mkuu inategemea umekula shada ya aina gani??zipo nyingi na ubora tofauti..na shada haihitaji uvute pull nzima ndo uiskie..hata pafu 2 tu unasikia inavyopita kwa nervous system
Shada usivutie stand,barabarani,vichochoroni..
Vuta shada ukiwa umechill kwenye mazingira tulivuuu na matunda pembeni huku kimto kinatirirsha maji,utaifeel broo
 
Nani kashakula GOMBA humu bila kusizi nimpe manyota......
Huu ulikuwa mchezo kuwatest vichwa vibovu....tunanyonga Gomba alaf tunapasiana mojamoja wale wenye vichwa vibovu na newcomers lazima wasizi
 
WAGWAN RASTA,maninja wote ambao tunatumia ile kitu asili mmea,tukutane hapa.tupeane michapo ya weed,habari za weed,utani wa weed na vitu ka hizo u know.hakuna kitu kama weed na hapa tunailegalise....ngonga ,washa vuta.roll in peace rasta.....
Sawa mkuu
IMG-20180907-WA0000.jpg
 
WAGWAN RASTA,maninja wote ambao tunatumia ile kitu asili mmea,tukutane hapa.tupeane michapo ya weed,habari za weed,utani wa weed na vitu ka hizo u know.hakuna kitu kama weed na hapa tunailegalise....ngonga ,washa vuta.roll in peace rasta.....

WEED ni mmea uliotukuka sana.... nikipiga kile kijiti huwa natuliaaa................
 
Kipindi fulani nikiwa mtoto niliwahi Kuchukua majani fulani hivi makavu nikayasokota kama bangi nikampa dogo mmoja avute.

Aisee tangu siku ile nilijua kuwa kuna majani zaidi ya bangi yule dogo alizirai.
Kuna aina flani ya uyoga ukila unalandua kabisa unaona mapichapicha,wenyewe wanaita shrooms,najaribu kufuatilia kujua hapa tz inapatikana wapi.
 
Kuna aina flani ya uyoga ukila unalandua kabisa unaona mapichapicha,wenyewe wanaita shrooms,najaribu kufuatilia kujua hapa tz inapatikana wapi.
usijekua wanyoka huo,upo salama kwa stimu?[emoji23]
 
Nimekulaga shada mpaka kichwa ikawa sugu hata nimoke pull mia sisikii stim yoyote.

Nimeamua kuikacha tu.
Tanzania wengi tunavuta shabu,substandard ganja a.k.areggie.bangi miti kibao,vumbi humohumo,mimbegu humohumo,bangi yenyewe imechumwa kabla haijakomaa vizuri wala kukaushwa kitaalamu,nyengine zimelowekwa gongo na mafuta ya taa,ndo maana wengine wanawehuka.bangi unauziwa jelo tena mjini unategemea itakuwa na ubora wa maana?.

Ganja nzuri/high grade huwa haina mbegu nyingi na iliyo bora zaidi inakuwa haina mbegu kabisa(bubu/unpolinated female plant),inakuwa inanukia harufu fulani hivi amazing,inakuwa na nta ya kutosha inanata nata,ukivuta humalizi joint/blunt nzima kwa mkupuo,na lazima ukohoe kidogo.
 
Mkuu navuta kitu cha Angola, ni balaa ,maramamae
 
Back
Top Bottom