Wavutaji wote hapa

Wavutaji wote hapa

Happiness comes in nuggets.gold nuggets,chicken nuggets and ....
IMG_20180916_134107_653.jpg
 
Mimi bangi ilishaga nishinda,siku moja nlitoka hom saa 4 asubuhi,nkapita maskani nikaanza kuvuta,mida ya saa 5 na nusu asubuhi nikarejea hom,nlipofika tu,eti nikaanza kusalimia nyumba nzima
Mmoja baada ya mwingine tena kwa kuwapa na mkono[emoji3]
Broo akanishtukia sipo sawa,akanisukutua kibao cha maana usoni,***** hapo ndo akili ikarudi,tokea siku hio nikaiharamisha bangi[emoji13]
 
Kichwa panzi bora hata uliacha ila acheni kuudisi mmea kwa story zenu za kutunga
 
Ndani ya msitu mnene,nachambua nanyonga kisha navuta

Ganja nanyonga mwenyewe simuamini pusha,asije nipa famba akaniambia cha arusha

Ganja navuta,pamba nanyuka,kwanja naruka,sio mpk niombe kwanza ruksa

Tutembezeani kijiti wakuu
Mimi Starehe nilizonazo zinanitosha, siongezi nyingine, zaidi zaidi, ntapunguza hizi nilizonazo.
Huyo artist tulimpoteza kwa sababu ya madawa, shida inakuaga unaanza taratibu baadae unaongeza madawa, na ukishaingia kwenye madawa tu, tunakupoteza.
 
Hivi wazee mnajua ile THC iliyo ndani ya mmea ni fat-soluble? Kwo ukichemsha mmea ndani ya kitu kama maziwa ile THC inajaa huko afu unakunywa hiyo chai...
Babaa, utakuwa high siku 3 na kuendelea..

Hii ni kwa ambao hatuvuti anymore ila bado tunapenda ile ecstacy ya marijuana.
Legalize it!
Kwamba siku 3 na kuendelea..hahaha
 
Uruguay ndio nchi pekee iliyo legalize Bangi unaweza panda hata kwako km Maua
IMG_20180917_062911.jpg
 
Mimi bangi ilishaga nishinda,siku moja nlitoka hom saa 4 asubuhi,nkapita maskani nikaanza kuvuta,mida ya saa 5 na nusu asubuhi nikarejea hom,nlipofika tu,eti nikaanza kusalimia nyumba nzima
Mmoja baada ya mwingine tena kwa kuwapa na mkono[emoji3]
Broo akanishtukia sipo sawa,akanisukutua kibao cha maana usoni,***** hapo ndo akili ikarudi,tokea siku hio nikaiharamisha bangi[emoji13]
wastaarabu tunatumia jioni baada ya kazi,na ukishashtua unatulia kwanza unaskilizia stimu then maji ya kunywa ya kutosha na malumbuzi/mapokopoko,sio unavuta alafu unaanza safari kwenye jua kali.Kuvuta bange asubuhi nuksi.
 
Chaka bumu bumu chaka bumuuuuu shiiiiiiiiii[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom