Wawe wanachaguliwa Wabunge wenye akili. Kuna Wabunge ukiwasikiliza unapata picha wananchi wao wakoje

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe.

Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
 
Elimu ya uraia inahitajika mno ili kufikia huko.
 
Bunge lifutwe. Wanafilisi pesa za wananchi hakuna la maana zaidi ya kupiga soga tu pale
 
N
Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe.

Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
Ndo ubaya WA democrasia.democrasia mwenye uwezo WA kushawishi wapiga Kura anapata ridhaa ya kuwaongoza.ata kama NI nabii Tito.
 
Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe.

Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
Wenye akili huwa wanaziamini akili zao pekee ndio maana wajumbe wanawapaga kura moja tu kwenye kinyang’anyiro cha kumpata mgombea !! Wanasemaga mwenye kisu kikali ndio atakayekula nyama !!
Bado tupo mbali sana mkuu !!
 
Back
Top Bottom