Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nileteeeeeeeeni Gwajima x7Babu T
Mungu fundiNileteeeeeeeeni Gwajima x7
Ndo ubaya WA democrasia.democrasia mwenye uwezo WA kushawishi wapiga Kura anapata ridhaa ya kuwaongoza.ata kama NI nabii Tito.Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe.
Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
Wenye akili huwa wanaziamini akili zao pekee ndio maana wajumbe wanawapaga kura moja tu kwenye kinyang’anyiro cha kumpata mgombea !! Wanasemaga mwenye kisu kikali ndio atakayekula nyama !!Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe.
Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....