Apana aisee huyu atakuwa shushushu wa ChinaSijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146
Ungekuwa ndugu yangu ningebadilishana na gunia la ufutana wakati inauzwa alikuwepo ila alikaa kimya akijua atabagein. atoke kimaisha kwa bahati mbaya kapuliziwa mbali amebaki na maneno km wewe
Tena huyo hana madhara hao wakubwa ndiyo wenye kufanya ufisadi afrika ,sasa mtu kama huyo hata kidini kafanya kosa gani kufanya kazi za kimasikini ni kosa ,hapo ndiyo utagundua aliye nacho uzidishiwa na asiye nacho hata kidogo alicho nacho atapokonywa ,kumsimanga huyo mchina wakati watz wamejaa nchi zao maelfu wakifanya kazi za ovyo kama hizo ni kumpokonya masikini kile kidogo alicho nachomwekezaji ni mwekezaji tu
Tena masikini hana shida yoyote tatizo ni hao hao wawekezaji wakubwa kama wa bandari ya bagamojoAchen kulialia mkuu. Mbona china wapo mpaka mamantilie wa kibongo wznapika ugali na hakuna anaewabuguzi. Tusipende kubebwa kila kitu. Kama imeonekana ni fursa na znaona anaweza fanya mwache huenda kuna mbongo ataiga. Hii tabia yako wanayo wabongo wengi. Utakuta watu wako huko mikoani. Mashamba yapo makubwa tu wameacha yamekuwa pori. Ukigusa tu wanaanza kulalama mashamba yetu mashamba yetu. Tuache tabia ya kulia lia. Tupambane dunia ishakuwa kijiji.
Mbona ndiyo kazi za waafrika wakia ulaya huko kuzoa mavii ya mbwa na kuwatawaza mbwa kuzibua vyoo, kufua vyupi nkHao unaowalalamikia ni kama hawajali na kwa vile kuna kautamaduni ka kila mtu kumind his/her own business mambo kama haya yataendelea kujitokeza na kukomaa. Hebu wewe Mbongo nenda kafanye haya kwa nchi za wenzetu !!!
Ndugu yanayoendelea Tz ni.makusudi tu wachache wawe mabilionea wengine tufe njaa ila Mungu yupoSijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146
Mkuu mshana sikupingi ndivyo hilivyo, hapo anafanya tu kutafiti atapata wazo zuri la kiuwekezaji ndio anawezeshwa kulitekeleza toka kwao na mara nyingi wanakuaga ma shushushu.Baaada ya mwaka anafungua kiwanda
Hakika mkuu, kuna watu awajajua tu yani ulichosema ndivyo kilivyo.Ushahid wa nini sasa. Uliza hapa watu wote wanaoenda Guanzhou kama hawatakuambia ugali wanaupata wap kama sio Tieshou kwa wadada wa kibongo tena wanapika local way kuliko hawa wamama ntilie wetu huku. Usikariri maisha chief. Pambana dunia ishakuwa kijiji mkuu. We hujawah kuona pale kijiji ulipozaliwa anakuja mtu kutoka mkoa mwingine analima anatoka na nyie mko hapo miaka yote na mnalima lakin hamtoki. Usililie kubebwa ingia front jifunze kwa huyo unaempinga japo upate kujua huyu inawezekana vip atoke china nauli milion 3.5 aje kuuza madafu? Utajikuta unagundua zaid ya hayo madafu.