Wawekezaji Toka China

Wawekezaji Toka China

Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
Apana aisee huyu atakuwa shushushu wa China
 
na wakati inauzwa alikuwepo ila alikaa kimya akijua atabagein. atoke kimaisha kwa bahati mbaya kapuliziwa mbali amebaki na maneno km wewe
Ungekuwa ndugu yangu ningebadilishana na gunia la ufuta
 
mwekezaji ni mwekezaji tu
Tena huyo hana madhara hao wakubwa ndiyo wenye kufanya ufisadi afrika ,sasa mtu kama huyo hata kidini kafanya kosa gani kufanya kazi za kimasikini ni kosa ,hapo ndiyo utagundua aliye nacho uzidishiwa na asiye nacho hata kidogo alicho nacho atapokonywa ,kumsimanga huyo mchina wakati watz wamejaa nchi zao maelfu wakifanya kazi za ovyo kama hizo ni kumpokonya masikini kile kidogo alicho nacho
 
Achen kulialia mkuu. Mbona china wapo mpaka mamantilie wa kibongo wznapika ugali na hakuna anaewabuguzi. Tusipende kubebwa kila kitu. Kama imeonekana ni fursa na znaona anaweza fanya mwache huenda kuna mbongo ataiga. Hii tabia yako wanayo wabongo wengi. Utakuta watu wako huko mikoani. Mashamba yapo makubwa tu wameacha yamekuwa pori. Ukigusa tu wanaanza kulalama mashamba yetu mashamba yetu. Tuache tabia ya kulia lia. Tupambane dunia ishakuwa kijiji.
Tena masikini hana shida yoyote tatizo ni hao hao wawekezaji wakubwa kama wa bandari ya bagamojo
 
Hao unaowalalamikia ni kama hawajali na kwa vile kuna kautamaduni ka kila mtu kumind his/her own business mambo kama haya yataendelea kujitokeza na kukomaa. Hebu wewe Mbongo nenda kafanye haya kwa nchi za wenzetu !!!
Mbona ndiyo kazi za waafrika wakia ulaya huko kuzoa mavii ya mbwa na kuwatawaza mbwa kuzibua vyoo, kufua vyupi nk
 
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
Ndugu yanayoendelea Tz ni.makusudi tu wachache wawe mabilionea wengine tufe njaa ila Mungu yupo
 
Ushahid wa nini sasa. Uliza hapa watu wote wanaoenda Guanzhou kama hawatakuambia ugali wanaupata wap kama sio Tieshou kwa wadada wa kibongo tena wanapika local way kuliko hawa wamama ntilie wetu huku. Usikariri maisha chief. Pambana dunia ishakuwa kijiji mkuu. We hujawah kuona pale kijiji ulipozaliwa anakuja mtu kutoka mkoa mwingine analima anatoka na nyie mko hapo miaka yote na mnalima lakin hamtoki. Usililie kubebwa ingia front jifunze kwa huyo unaempinga japo upate kujua huyu inawezekana vip atoke china nauli milion 3.5 aje kuuza madafu? Utajikuta unagundua zaid ya hayo madafu.
Hakika mkuu, kuna watu awajajua tu yani ulichosema ndivyo kilivyo.
 
Illegal immigrants Weusi wapo wengi sana Bongo, sema Wachina cannot blend in. It's ok Mjamaica kuuza mishkaki lakini Mchina kuuza madafu it's a problem.
 
oya, uyo dada atoe iyo 500 na papuchi juu, aache uphala
 
Back
Top Bottom