Wawekezaji wanapopewa leseni ya udalali: Be-Forward sasa yavamia soko la nyumba

Wawekezaji wanapopewa leseni ya udalali: Be-Forward sasa yavamia soko la nyumba

espy

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
363
Reaction score
706
Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua...

Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni real-estate-tanzania.beforward.jp..... Hiyo "dot JP" inasema ni mtandano wa Kijapan!

Tunahitaji kutoa vibali kwa wawekezaji mpaka wa udalali wa nyumba za kupanga na viwanja ????????

nyumba 1.jpg

nyumba 2.jpg

nyumba 3.jpg
 
Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua...

Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni real-estate-tanzania.beforward.jp..... Hiyo "dot JP" inasema ni mtandano wa Kijapan!

Tunahitaji kutoa vibali kwa wawekezaji mpaka wa udalali wa nyumba za kupanga na viwanja ????????

View attachment 2990739

View attachment 2990740

View attachment 2990741
Sometimes yes sometimes no..

Unzuri ni kuwa biashara zinakuwa huru huu ni ulimwengu wa free trade.

Ubaya wake wazawa watachemka maan kampuni km befoward wapo vizuri kitekinolojia na capital yao ni kubwa isee wakisema waingie wazimawazima kwenye real estate wazawa na kampuni zao watatafutana.
 
Hushangai bolt na uber kufanya bodaboda?
 
Acha wivu, bila kuwa na competition ni vigumu kuwa na maendeleo. Ishu ni sisi kufanya vizur zaid yao. Usisahau hao wanatoa huduma in exchange for money, hawachoti pesa za Tanzania bure kwa sababu na ss tunanufaika na huduma yao...acha wapige kazi
 
Nyie wazawa si mnabishana kuhusu simba na Yanga nani mkali. Endeleeni tu.
Asubuhi mpk jioni radio zenu na wewe pia kusifia Diamond na alikiba wanajua mziki mno.
Wao wameona fulsa kwenye majumba na makazi. Kwako nongwa.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Sometimes yes sometimes no..

Unzuri ni kuwa biashara zinakuwa huru huu ni ulimwengu wa free trade.

Ubaya wake wazawa watachemka maan kampuni km befoward wapo vizuri kitekinolojia na capital yao ni kubwa isee wakisema waingie wazimawazima kwenye real estate wazawa na kampuni zao watatafutana.
Kinachowasaidia wanarasimisha biashara madalali local hawataki kurasimisha. Ikitokea wakaajiri maafisa taarifa ndo mwanzo wa mwisho wa madalali local.
 
juzi nilienda kariakoo nikakuta maduka ya vifaa vya umeme wapo wachina wanauza bidhaa zao,hao wachina wanapiga kiswahili kama wazaramo,ukiulizia kitu na ukataka kuondoka wanakuita na kukuuliza ulitaka kwa bei gani,ila nikajikuta nahitaji bulb 3 tu akaniuzia mwishowe akanishukuru sana kuja dukani kwake,ni wakarimu sana wafanyabiashara wetu wasiojua custom care wajipange sana
 
Mkuu hizo ni biashara kama biashara zingine tu hata kisiwa ukitaka wanakupa
Kuna wazungu wamechukua manyumba na kuyakarabati kisawasawa na wanakodisha Arusha Airbnb wengi tu hata Dar
Changamkieni fursa la sivyo nyinyi ndio mtakuwa fursa
 
Mkuu hizo ni biashara kama biashara zingine tu hata kisiwa ukitaka wanakupa
hapana, hii sio biashara kama zingine.... hii ni international trade, mgeni anachukua fedha zenu anahamishia nje ya nchi....

Nchi za duniani kote huwa zina sera za kulinda biashra na ajira za watu wake, ndio maana kuna restrictions za nani anaweza kufanya biashara Tanzania, na nani hawezi, na nani anaweza kununua ardhi na nani hawezi. Tukumbuke siku zote, biashara za kimataifa ni za ushindani
 
Back
Top Bottom