MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mtu mwenye mawazo kama yako ni hasara kwa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenichekesha, na anakwambia gari imenyooka kumbe hata hajaiona. madalali wa tz kweli shida. Anakwambia nyumba iko hivi na vile kumbe hata haijui na wala hajui ilipo anakupeleka mkifika mtaa anaanza kumpgia mwenzake anauliza ilipo mara mbona mwenye funguo hayupoAcha wafanye hizi kazi kitaalamu.
Mambo ya madalali wa Tanzania kutuambia gari imenyooka, gari kali, nyumba imesimama na maneno ya kiswahili swahili uishe.
Be Forward wapakistani mbona huko Lusaka walianza zamani hii biashara CongoMwenye beforward ni mbongo