Sometimes yes sometimes no..Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua...
Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni real-estate-tanzania.beforward.jp..... Hiyo "dot JP" inasema ni mtandano wa Kijapan!
Tunahitaji kutoa vibali kwa wawekezaji mpaka wa udalali wa nyumba za kupanga na viwanja ????????
View attachment 2990739
View attachment 2990740
View attachment 2990741
Hushangai bolt na uber kufanya bodaboda?Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua...
Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni real-estate-tanzania.beforward.jp..... Hiyo "dot JP" inasema ni mtandano wa Kijapan!
Tunahitaji kutoa vibali kwa wawekezaji mpaka wa udalali wa nyumba za kupanga na viwanja ????????
View attachment 2990739
View attachment 2990740
View attachment 2990741
Una ambiwa kitu ni Used but New 😄 madalali wa bongo bhanaAcha wafanye hizi kazi kitaalamu.
Mambo ya madalali wa Tanzania kutuambia gari imenyooka, gari kali, nyumba imesimama na maneno ya kiswahili swahili uishe.
Kinachowasaidia wanarasimisha biashara madalali local hawataki kurasimisha. Ikitokea wakaajiri maafisa taarifa ndo mwanzo wa mwisho wa madalali local.Sometimes yes sometimes no..
Unzuri ni kuwa biashara zinakuwa huru huu ni ulimwengu wa free trade.
Ubaya wake wazawa watachemka maan kampuni km befoward wapo vizuri kitekinolojia na capital yao ni kubwa isee wakisema waingie wazimawazima kwenye real estate wazawa na kampuni zao watatafutana.
hapana, hii sio biashara kama zingine.... hii ni international trade, mgeni anachukua fedha zenu anahamishia nje ya nchi....Mkuu hizo ni biashara kama biashara zingine tu hata kisiwa ukitaka wanakupa
halafu what's the long term plan, wakishatuonyesha inakuwaje, wataendelea kuzifanya wao au mkishazijua mtawafukuza ?Wageni wanatuonesha namna kazi zinavyo fanywa
Hilo sasa linabaki kwa watunga sera wa nchihalafu what's the long term plan, wakishatuonyesha inakuwaje, wataendelea kuzifanya wao au mkishazijua mtawafukuza ?