Umenichekesha, na anakwambia gari imenyooka kumbe hata hajaiona. madalali wa tz kweli shida. Anakwambia nyumba iko hivi na vile kumbe hata haijui na wala hajui ilipo anakupeleka mkifika mtaa anaanza kumpgia mwenzake anauliza ilipo mara mbona mwenye funguo hayupo