Wawili akiwemo mchungaji washikiliwa na polisi kwa kulaghai mchawi kadondoka na ungo kanisani kwenye mkesha

Jeshi la polisi liache double standard. Akina Mwamposa kila siku wanawalaghai wafuasi wao kwa kujifanya wanaponesha magonjwa mbalimbali, lakini hawachukuliwi hatua.
 
Jeshi la polisi liache double standard. Akina Mwamposa kila siku wanawalaghai wafuasi wao kwa kujifanya wanaponesha magonjwa mbalimbali, lakini hawachukuliwi hatua.
Wala tusilaumu Jeshi la Polisi. Sisi wagalatia tumekuwa watu wa hovyo sana. Tunafanya mambo ya ajabu na ya kuchefua. Tunajiaibisha na kuiaibisha dini yetu na imani yetu ya kweli ya ukristo.

Sisi tunayoijua kweli tumekuwa vituko kwa wasioijua kweli.

Yesu atakosa uvumilivi na huruma na upendo wake kwetu kutoweka na kushuka kutugawia mkong'oto wa haja.
 
Mnaopenda watu waamini mambo ya kichawi. Ni wapigaji ambapo mnafaidika na hela za watu wanaoamini ushirikina. Huku uhalisia mnajua kwamba hizo ni hadithi za kufikirika.
Weka akiba ya maneno chief........
 
Jeshi la polisi liache double standard. Akina Mwamposa kila siku wanawalaghai wafuasi wao kwa kujifanya wanaponesha magonjwa mbalimbali, lakini hawachukuliwi hatua.
Mwamposa hajawahi sema yeye anaponya wagonjwa, anasema Yesu kupitia yeye ndo anaponya, na wanaopona anawauliza nani kawaponya wanajibu Yesu.
Sasa jeshi la polisi litambishiaje aliyepona hadi limtie hatiani Mwamposa?
 
Dini zote zinafanya ulaghai kwa miaka mingi ila hazikamatwi.

Ukweli mchungu Mungu aliyeandikwa kwenye vitabu vya dini zote hayupo. Mungu yupo kwenye mind zetu binadamu

Na hata Uchawi haupo duniani. Ni hadithi za kufikirika👍
 
du!!!!!!!,,,,,,,,,,,mambo ya shakahoza yameanza
 
Amebaki mwamposa na viwete wake feki kwenye mihadhara[emoji4]
Halafu viwete wote wa Songea walikuwa na magongo mapya, na yanayofanana!! Tena magongo zaidi ya 100!! Huku si kudanganya watu kweli!!!
 
Hakuna mchawi mkweli, agent wa shetani awe mkweli? Na watu wa Mungu na maajenti wa Mungu wawe sawa na wachawi kwa sababu Mungu ni mkweli na shetani hajawahi kuwa mkweli.
Safi sana Kadhi mkuu. Ukiamuaga kutema madini na kushusha nondo za hatariiii yani
 
Hakuna kanisa lisilokuwa na uongo na wizi.

.wajinga ndiyo waliwao.
 
Umasikini mbaya sana.

Yani jamaa amekubali kujidhalilisha kwa kiasi Cha Tsh elfu 50 tu wakati mchungaji angevuna mamilioni na mamilioni kutoka kwa waumini.
 
Taarifa ya alieanguka inamkanganyiko,anasema "yeye na wenzake walienda kanisani hapo kichawi kupima imani ya waumini wa kanisa," baada ya hapo kuna maelezo yanasema walipewa 50, which is which.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Mwamposa anayafanya sana haya
 
Police hawa wana double standard, kwa nini hawamkamati Mwamposa na mchanga wake wa kutoka "Israël "Ili hali mchanga anauchota hapa hapa Kawe.
Mafuta ya upako yenyewe yanatoka nchi gani? maana nilikuwa na mpango wa kwenda kukanyaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…