Wawili akiwemo mchungaji washikiliwa na polisi kwa kulaghai mchawi kadondoka na ungo kanisani kwenye mkesha

Sahihi, kama ndivyo basi wote wafikishwe kwa pilato.
 
Kama ilikuwa ni misheni ya kupangwa, kwa nini huyo mchawi feki asiende kuyeyukia kwenye ofisi ya mchungaji, mpaka kukacha na Polisi wakamdakua?

Nadhan mchungaji alijiamini kupita kiasi na kuona kila mtu ni zoba.

Sasa hilo kanisa lake kalivunja mwenyewe kwa upumbafu wake.

Hakuna mjinga atayeenda kuassemble tena kanisani kwa huyo tapeli.

Lakini kwa kuwa dunia haiishi misukule, wapo atakaoendelea kuwaokota kwa uongo wake.
 
Hebu tueleweshe, Kwani kuwa mchawi Tz ni kosa kisheria? Kuwa tapeli ni jinai. Kwahiyo hapa sheria inatamlamba mchungaji na sio mchawi.

Come again…….

Mchawi anahatia ya kufanya deal ya kitapeli na ulaghai. Kujifanya mchawi.

Au unataka kujua nzi hua wanaenda wapi usiku?
 
Mchawi anahatia ya kufanya deal ya kitapeli na ulaghai. Kujifanya mchawi.

Au unataka kujua nzi hua wanaenda wapi usiku?
Nimecheka sana! Been busyyyyyyy! 🙄

Kwahiyo kosa ni kujifanya mchawi, angekuwa mchawi kweli fresh tu??

Mbavu zinauma!
 
Wachungaji wahuni wanatomba wake na watoto wenu sana kanisani [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…