Polisi inawashikilia watu wawili Kwa kupanga njama za kumdhuru Rais wa Zambia, Haikande Hichilema Kwa njia za ushirikina.
Watuhumiwa hao ni Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri wanaodaiwa kutumwa na Nelson Banda,mdogo wa mbunge anayekabiliwa na tuhuma za wizi Jay Jay Banda kumroga kiongozi huyo.
Polisi wanadai kuwa na ushahidi kwamba wawili hao wanakabiliwa na kula njama za kufanya uchawi, kumiliki hirizi na ukatili wa wanyama baada ya kukutwa na na hirizi za aina mbalimbali akiwemo kinyonga hai.
Polisi wamedai watuhumiwa walikiri kula njama hizo na walikuwa wamekubaliana walipwe kiasi Cha Dola 7,400 za marekani baada ya kufanikiwa zoezi Hilo.
Source : Dar 24, online news.
Karibuni Kwa maoni🤔