- Thread starter
- #21
Kwamba mkamate Mbowe, amepanga kupindua Nchi Kwa kutumia kiasi Cha shilingi lakini SITA,Wanafanana hasa huku Afrika, wale wa Marekani na Nchi za Dunia ya kwanza hawako kama wetu
Polisi wa huku wanapewa maagizo hadi na Katibu wa UVCCM na anayatii 🙌
Pia alipanga kukata magogo pekeake na kuyatandaza Nchi nzima Barbarani Ili kupindua meza🤣