Wawili mbaroni Kwa kupanga njama za kumroga Rais.

Wanafanana hasa huku Afrika, wale wa Marekani na Nchi za Dunia ya kwanza hawako kama wetu

Polisi wa huku wanapewa maagizo hadi na Katibu wa UVCCM na anayatii 🙌
Kwamba mkamate Mbowe, amepanga kupindua Nchi Kwa kutumia kiasi Cha shilingi lakini SITA,

Pia alipanga kukata magogo pekeake na kuyatandaza Nchi nzima Barbarani Ili kupindua meza🤣
 
dah si waje huku wawaloge hawa viongozi wetu wote wafe.....
 
Kwamba mkamate Mbowe, amepanga kupindua Nchi Kwa kutumia kiasi Cha shilingi lakini SITA,

Pia alipanga kukata magogo pekeake na kuyatandaza Nchi nzima Barbarani Ili kupindua meza🤣
Ndiyo muone aina ya Jeshi tulilonalo kama Nchi

Kuna jamaa yupo kule, anasema ukienda kuongeza Elimu tu inakuwa nongwa Kwa wenzio ofisini

Maana wengi kule Wana Elimu ya Sekondari
 
Hichilema naye ameshakuwa hamnazo, alipoingia wengine tukaweka imani kwake kumbe hamna lolote.
 
Hichilema naye ameshakuwa hamnazo, alipoingia wengine tukaweka imani kwake kumbe hamna lolote.
Unaweka imani kwa mwanasiasa hasa wa kiafrika? Unafikirisha
 
Mpaka uchawi wa kiafrika unatathminiwa kwa kutumia dola za kimarekani siku hizi? Siyo kuku wa rangi fulani wala mbuzi au kondoo? Kwenye hii ni karne ya utandawazi. Mshana Jr tunaomba mwongozo!
 
Waje Tanganyika watusaidie kuuloga Muungano na CCM
Nimecheka hadi nimejamba, waje kwa kweli, kuna libarabara la Ntyuka Dodoma yaan lipolipo linajengwa mwaka wa kumi sasa na mbunge wake ananenepa tuuu. Nachukia sanaa viongizi wasiowatumikia wananchi wanaowapa maisha, msiwachague hiyo ndio hirizi yenyewe
 
Kwa iyo serikali yao inaamini uchawi😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…