Tetesi: Wawili wafa kutokana na msongo wa mawazo, baada ya kutimuliwa UDOM

Tetesi: Wawili wafa kutokana na msongo wa mawazo, baada ya kutimuliwa UDOM

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
4,131
Reaction score
6,111
Nimepata taarifa toka kwa mmoja wa wanafunzi wale waliotimuliwa na kuitwa vilaza kuwa kuna marafiki zake wawili wamefariki dunia kutokana na mawazo ya kutokana na kukata tamaa na kutojua hatma yao. Wanafunzi hao wote walikuwa wanachukua special diploma course ya ualimu.
14ebf256fd9b714a896ca1a1b1a7d86a.jpg
 
eeeeeh so bad mi nimegombana na ndugu kisa hicho naonekana kama mie serikal mtu anatuma sms haitaji msaada mpaka anakufa .....mie nikabak kimya had hasira zao ziishe
 
Cha kusikitisha waliambiwa hawastaili kulipwa lkn ukiingia tovut ya heslb unakuta wameainisha hao wa special program wanapewa mkopo. www.heslb.go.tz
Nchi hii ngumu sana. Poleni wafiwa
 
Kama ni kweli basi kuna jambo la dhati la kufanya.
 
Isijekuwa ni assumptions tu kuwa wamefariki kutokana na msongo wa mawazo baada ya kutimuliwa kutoka chuoni wakati sababu za kitaalamu za vifo vyao zikiwa ni tofauti. Yote kwa yote poleni sana wafiwa.
 
Mwanga wa milele uwaangazie eeh Bwana raha ya milele uwape wapumzike kwa amani
 
Nimepata taarifa toka kwa mmoja wa wanafunzi wale waliotimuliwa na kuitwa ****** kuwa kuna marafiki zake wawili wamefariki dunia kutokana na mawazo ya kutokana na kukata tamaa na kutojua hatma yao. Wanafunzi hao wote walikuwa wanachukua special diploma course ya ualimu.
14ebf256fd9b714a896ca1a1b1a7d86a.jpg


Inabidi wanasayansi wa Dunia hii wahamie TanZania kufanya utafiti, kumbe mtu unaweza kufa kwa msongo wa mawazo kwenye nchi ambayo ni kawaida kwa kijana au mtoto ufa kwa Malaria, homa, kipundu pindu, ajali, sumu, kuangukiwa na ukuta, kisukari n.k
 
Back
Top Bottom