GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 221
R.I.p nimejikut natoa machozi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inahuzunisha sana mkuu. cha ajabu wakuu hata hawashtuki.R.I.p nimejikut natoa machozi!!
Maneno yako mazito mkuu! Umenitoa machozi ila naamini sijachelewa!Tujitahidi kuwapa moyo wenzetu hasa wale walio na options 1 tu ya maisha "kusoma ndio kutoboa" kuna njia zingine za kufikia malengo
Nimepata taarifa toka kwa mmoja wa wanafunzi wale waliotimuliwa na kuitwa ****** kuwa kuna marafiki zake wawili wamefariki dunia kutokana na mawazo ya kutokana na kukata tamaa na kutojua hatma yao. Wanafunzi hao wote walikuwa wanachukua special diploma course ya ualimu.
![]()
Hakuna kifo ambacho hakina sababu.Ila pia tukae tukijua ktk idadi lukuki ya watu takriban elf saba, kifo ni kitu cha kawaida sana. Kwenye kijiji hufa wangapi kwa mwezi bila kuangalia sababu za vifo?
Na sababu yenyewe si lazima iwe ni msongo wa mawazo.Hakuna kifo ambacho hakina sababu.
Hopeless kabisa. Kuliko kukosa busara kama wewe ni bora mtu asizaliwe.Inabidi wanasayansi wa Dunia hii wahamie TanZania kufanya utafiti, kumbe mtu unaweza kufa kwa msongo wa mawazo kwenye nchi ambayo ni kawaida kwa kijana au mtoto ufa kwa Malaria, homa, kipundu pindu, ajali, sumu, kuangukiwa na ukuta, kisukari n.k
Ya yote mpangaji ni MUNGU.Na sababu yenyewe si lazima iwe ni msongo wa mawazo.