Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali.
Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale, Kata ya Dodoma Makulu huku wivu wa mapenzi ukitajwa kuwa chanzo ingawa haikuthibitishwa mara moja iwapo watu hao walikuwa wapenzi au laa
Jeshi la Polisi linaendeleza jitihada za kumtafuta mhusika wa mauaji hayo
Chanzo: EATV