Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Kwani huwezi piga chini na ukaendelea na maisha yakoInategemea umeinvest kiasi gani na majibu ya huyo aliyemfumania
Unadhani ni rahisi hivyo Mkuu, fikiria una mke na mna watoto na mmechuma pamoja. Hivi unajua watoto wewe, wao ni BABA na MAMA wawaone mpo nyumba moja. Kukosana kwenu hawana taarifa nako. Changanya na mawazo ya wewe kuanza upya. Je, unaoa Single mother (unalianzisha kutoka kwa mke usisahau na mtoto wake); unaoa mgumba (hiyo afadhali maana shida ipo kati ya watoto wako na mke si watoto kwa watoto pia mtoto wake na wewe); unaoa dogo dogo (akifika atahakikisha unamjengea nyumba yake na muachane na hiyo ya mtalaka)..... ni mengi kiasi hasira zinapanda mpaka mnagawana majengo ya serikali.Kwani huwezi piga chini na ukaendelea na maisha yako
Kuliko kwenda ozea jelaaa
Ova
Inasikitisha sanaShangaa na wewe
Bado siwez chukua huo uamuziInategemea umeinvest kiasi gani na majibu ya huyo aliyemfumania
NdioDuuuh haya mambo yamerudi tena?
Tetesi ni iko hivi Esther ambaye ni marehemu alishakua na mahusiano na kijana alietekeleza mauaji, Jamaa alipigwa chini (Kibuti,kumwagwa) lakini hataki achika.Inasemekana huyo mwanamke alimleta hawara (dereva bodaboda) ndani ya nyumba wakati mmewe akiwa hayupo.
Badae mmewe kurudi ndio akawafumania na hatimaye kuwashambulia wote wawili...mkewe na huyo jamaa wa boda kwa panga/kisu hadi kupoteza uhai wao.
BASI NI BALAANdio
AFYA YA AKILI NI MUHIMU SANA KUPIMWA AISEETetesi ni iko hivi Esther ambaye ni marehemu alishakua na mahusiano na kijana alietekeleza mauaji, Jamaa alipigwa chini (Kibuti,kumwagwa) lakini hataki achika.
Na siku ya tukio Easther alitoka kwao mkoani na kuja Dodoma kwa Intavyuu za sensa nakufikia kwa mpenzi wake mpya Dereva boda ambaye wote wawili waliuawa na mpenzi wa Esther wa zamani ambaye hakukubali matokeo ya kuachwa. Walale salama asee
Vijana wengi wanamatatizo ya akili asee jamaa kafanya mauaji ya kijinga na kikatili sana.
Inategemea ntu na ntuKibosile mmoja wa Tanroads Kanda ya ziwa alikuaga anasema kama wewe,siku wahuni wamemwagia mkewe protein nzito nyeupeee jamaa alikua analia Hadi kamasi.
Ile siku ndio nilijua kumbe Yale maneno yake yalikua ni kama ya motivational speaker.
😄😄 huyo ninaekwambia Ni muhuni aliyekubuhu na pesa anayo ya maana,hakuna uchafu hajafanya lkn yalipomkuta jasho lilimtoka.Inategemea ntu na ntu
Mimi mpka malaya nishanunua sana ..kutombewa kawaida sana
Napiga chini natafuta mwengine
Nikisema sina wivu najua huwezi amini
Inategemea ntu na ntuKibosile mmoja wa Tanroads Kanda ya ziwa alikuaga anasema kama wewe,siku wahuni wamemwagia mkewe protein nzito nyeupeee jamaa alikua analia Hadi kamasi.
Ile siku ndio nilijua kumbe Yale maneno yake yalikua ni kama ya motivational speaker.
Bado kwa upande wangu mimi siwezi kusumbuka kisa ****We omba tu yasikukute.
Kila mwanamke na utamu wake na wanazidiana.
usione mtu kaganda sehemu moja kumbe kapewa vitu vizito Sasa akija kuona kuna mtu anapewa hivyo vitu badala ya yeye lazma aumie
Basi uchungu hapo ni pesa zake sio mwanamkeShida ni namna mtu anavyokuwa amewekeza na kudanganywa. Wanaume wengi wanaweka pesa nyingi sana.