Subiri siku ukifika mtoni ndiyo utajua utavuka vp,Sasa hivi utatambaa tu! Kipimo kizuri Cha akili yako,ni pale unapovurugwa na mwenza wako,hapo ndiyo utaijua vizuri Serekali ya kichwa chako inafanyaje kazi! Ni swala la muda tu!!Bado siwez chukua huo uamuzi
Mkuu mimi nishafumania sana ila kinachoniogopesha hata siumiiSubiri siku ukifika mtoni ndiyo utajua utavuka vp,Sasa hivi utatambaa tu! Kipimo kizuri Cha akili yako,ni pale unapovurugwa na mwenza wako,hapo ndiyo utaijua vizuri Serekali ya kichwa chako inafanyaje kazi! Ni swala la muda tu!!
Hakika.Mara nyingi ndio hivyo.Basi uchungu hapo ni pesa zake sio mwanamke
Kuna sehemu ukipenda kweli wivu unaongezeka Mara mbili!![emoji1][emoji1] huyo ninaekwambia Ni muhuni aliyekubuhu na pesa anayo ya maana,hakuna uchafu hajafanya lkn yalipomkuta jasho lilimtoka.
Basi tunasema ww unapenda tu,lakini huja fall in love! Kupenda kupita kiasi ndiyo maana watu wengi hushia matatizoni!!Mkuu mimi nishafumania sana ila kinachoniogopesha hata siumii
Najihisi nina tatizo