Mkuu...isije ikawa wewe umeyaandika hayo kishabiki,Mkuu, kama wewe siyo hater tu basi weka hoja zako clear ueleweke.
1. Unasema hajachana? Uongo. Kuchana kachana na kuimba kaimba hook na bridges.
2. Nini kimekukwaza kwenye production.? Producer kafanya nini kinachoshabihiana na mtu anayesinzia?
3.Kuhusu wimbo kuitwa 'waya', hebu tuambie wewe umeelewa kwamba wazo kuu la Hii wimbo ni nini?
4.Taja mifano halali ya hicho kiingereza kibovu kilichotumika kwenye hiyo ngoma.
◆ Hakuna Uhusiano wa neno "WAYA" na alichoimba...mfano:- "Excuse me miss/girl can I gonna hv yo # "...something like those shits n blah blah..
Pia ni wa nyumbani.Wale ni kawaida yao!
washavuta chao fasta
Hivi unadhani Joh alikua hana nyimbo mpaka huyo Killer alivyoongea upuuzi ndiyo akatoa nyimbo?Hii ngoma mbovu...Joh amekurupuka na ajaribu kutafuta washauri wazuri, kwa muono wangu yeye alifikiri Young killa alivyomdis ndio itakua kiki!
Joh sio wa kutembea na kiki, ajiangalie sio kila kiki ni nzuri
Hii ya killa itamtokea tu na hawezi tusua na ngoma mbovu kama hii
OVA
Waya wewe umeelewaje?Mkuu...isije ikawa wewe umeyaandika hayo kishabiki,
I'm a big fan of JOH na sio hater....na zaidi sio namdis yeye....naudis huu wimbo na aliyeproduce.
Ni kweli kuna mahali amechana pia ila:-
Wewe kama unajua ngoma za Joh Makini, hii unaikubali haswaa kwa 100% ?
Hebu tuambie association ya neno "Waya" na aliyoimba na kuchana.
Haters ndio wanafanya huu wimbo ubambe, wamejazana You Tube wapate cha kukosoaHivi unadhani Joh alikua hana nyimbo mpaka huyo Killer alivyoongea upuuzi ndiyo akatoa nyimbo?
Katazame number 1 trending kwenye you tube ni nani.