Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

Habarini Wadau,

Kwanza niweke wazi kuwa sina chuki na mwimbaji yeyote wa HipHop hapa Bongo

Pia nimekuwa nikipenda kufuatilia sana pini zote za JOH, kuanzia tracks kama chochote popote, Ufalme, stimu zimelipiwa na hata mchano wake katika Gere n.k

ILA HII WAYA ni hakuna kitu kabisa na itamshusha sana. Sababu ni:-

◆ Kwanza hajachana ni Ameimba na Hawezi kuimba.

◆ Producer aliyetengeneza hii ngoma sijui alikuwa anasinzia kwa kula unga?

◆ Hakuna Uhusiano wa neno "WAYA" na alichoimba...mfano:- "Excuse me miss/girl can I gonna hv yo # "...something like those shits n blah blah..

◆ Kiingereza kilichotumika ni kibovu sana.

Ikiwa kuna uwezekano wa kucorrect errors za huu wimbo Joh Makini arekebishe kabla hajachekwa zaidi.

NAWASILISHA.
 
Mkuu, kama wewe siyo hater tu basi weka hoja zako clear ueleweke.
1. Unasema hajachana? Uongo. Kuchana kachana na kuimba kaimba hook na bridges.
2. Nini kimekukwaza kwenye production.? Producer kafanya nini kinachoshabihiana na mtu anayesinzia?
3.Kuhusu wimbo kuitwa 'waya', hebu tuambie wewe umeelewa kwamba wazo kuu la Hii wimbo ni nini?

4.Taja mifano halali ya hicho kiingereza kibovu kilichotumika kwenye hiyo ngoma.
 
Na akisema katumia slang hajakosea kwenye mashairi mtasemaje? Kwa wale wote mnaomdiss joh kwa hii track, Hebu na nyie toeni kazi zenu tuanze kusikosoa;(hata kama mnauza chipsi mahali mtupe location tuje tuzikague kama chipsi zenu zinaiva vizuri nyie hamkoseagi.) Wao wanaflow flow laini kama mnataka ngumu msikilizeni Nashi Mc, baba Malcom na SONGA. Binafsi sio mshabiki sana wa joh ila hajakosea alichoimba, kama mnahisi kazingua toeni remix mumsahihishe.... Grammar Nazi's
 
Mkuu, kama wewe siyo hater tu basi weka hoja zako clear ueleweke.
1. Unasema hajachana? Uongo. Kuchana kachana na kuimba kaimba hook na bridges.
2. Nini kimekukwaza kwenye production.? Producer kafanya nini kinachoshabihiana na mtu anayesinzia?
3.Kuhusu wimbo kuitwa 'waya', hebu tuambie wewe umeelewa kwamba wazo kuu la Hii wimbo ni nini?

4.Taja mifano halali ya hicho kiingereza kibovu kilichotumika kwenye hiyo ngoma.
Mkuu...isije ikawa wewe umeyaandika hayo kishabiki,

I'm a big fan of JOH na sio hater....na zaidi sio namdis yeye....naudis huu wimbo na aliyeproduce.

Ni kweli kuna mahali amechana pia ila:-

Wewe kama unajua ngoma za Joh Makini, hii unaikubali haswaa kwa 100% ?

Hebu tuambie association ya neno "Waya" na aliyoimba na kuchana.
 
Uko sahihi
Naongezea hata video yake rangi imekolezwa utadhani utadhani ubiyu au ice cream.
Huu wimbo kwa kweli joh ka under perform kwenyu kila kitu.
 
◆ Hakuna Uhusiano wa neno "WAYA" na alichoimba...mfano:- "Excuse me miss/girl can I gonna hv yo # "...something like those shits n blah blah..

Mkuu ni kweli hujajua uhusiano wa hilo neno? Usikilize taratibu jipe muda kuwa free stress zone utaelewa tu.

'... Na nikivuta waya wayaaa ujue nishajikoki..'
 
Hii ngoma mbovu...Joh amekurupuka na ajaribu kutafuta washauri wazuri, kwa muono wangu yeye alifikiri Young killa alivyomdis ndio itakua kiki!
Joh sio wa kutembea na kiki, ajiangalie sio kila kiki ni nzuri
Hii ya killa itamtokea tu na hawezi tusua na ngoma mbovu kama hii

OVA
 
Hivi unadhani Joh alikua hana nyimbo mpaka huyo Killer alivyoongea upuuzi ndiyo akatoa nyimbo?

Katazame number 1 trending kwenye you tube ni nani.
 
Mkuu...isije ikawa wewe umeyaandika hayo kishabiki,

I'm a big fan of JOH na sio hater....na zaidi sio namdis yeye....naudis huu wimbo na aliyeproduce.

Ni kweli kuna mahali amechana pia ila:-

Wewe kama unajua ngoma za Joh Makini, hii unaikubali haswaa kwa 100% ?

Hebu tuambie association ya neno "Waya" na aliyoimba na kuchana.
Waya wewe umeelewaje?

Anamuomba demu namba ya simu anamuahidi atampigia, na anamwambia nikikupigia nitakua nimejikoki(nimejiandaa)

Kuhusu kuchana amechana sana na pia kafanya bridge na hook,

Kuhusu producer amepiga beat ya dance hall kama ulikua ufahamu uwe unauliza.

Joh Makini sio robot anapaswa kuchange kulingana na feelings anazokua nazo kama artist,

Sikiliza wasanii kama Drake, A.K.A, Navio, snoopy dog, lil Wayne nk utagundua mziki sio kukariri 16 bars na kuanza kutiririka tu kwenye mdundo mmoja tu,

Haya nenda katazame you tube number 1 trending ni nani hasa.
 
Back
Top Bottom