Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

kabisa mkuu hawa ni wa kupuuza
 
Anaomba namba ya dem then akijipanga atamvutia waya.
 
Hivi ulitaka wimbo anaotoa Joh Makin upokelewe vipi huko youtube? wengi wanautazama kwa kuwa tu ametoa Joh Makin ila hapo hakuna jipya... hicho sio kipimo sahihi
We we hivi unadhani wapenzi wa muziki wote wanafiki kama wewe?
Unadhani zimetoka nyimbo ngapi mpya? Huo unaodhani wewe mbovu ukashika namba 1?
Nimekwambia Pete vigezo vyako unapiga porojo tu bila ushahidi.
Wimbo ukitoka kipimo chake in kuangalia mapokeo yake
 
Haters ndio wanafanya huu wimbo ubambe, wamejazana You Tube wapate cha kukosoa
Wanavyozidi kusema ni mbaya, ndivyo watu wanavyomiminika youtube kwenda kuangalia lisemwalo lipo,
 
Kama King wa hip~hop kibongo Fid Q kaikubali hii ngoma basi mimi sina sababu tena ya kuitilia shaka!!
 
..
A. Okay, ndani ya waya, Joh anamtokea manzi na anamuomba namba zake za simu kisha anamwambia akivuta waya 'akipiga simu' basi demu ajue msela keshajipanga.
Sasa katika utongozaji wake kuna sehemu:
1. Jamaa anajisifia jinsi ambavyo amehustle na sasa kafanikiwa na anakimbiza wapinzani.
2.Anamsifia dem na kumpromise good time. Anamwambia aachane na mastory mingi za mobs.
So, mtongozo mzima ni mixer ya mahaba na boasting.

But, yote haya yanatokea katika ile moment ya kuomba namba ili baadaye Joh amvutie huyo dem nini? WAYA. So, yuko sahihi kuita huo wimbo waya.

B.kuhusu rating.. Mi hii ngoma nairate 4/5. Na producer katisha haswaaa.
 
..
Ww tattizo lako hitaki ukweli acha ukweli usemwe mbona wati wasidis kamosabe ya fid q wadiss tu huo waya
Boss, sikatazi mtu kudiss wimbo. Nachosema ni kwamba unapodiss ngoma ya mtu njoo na real critical points zilizo clear. Mf. Sema 'verse 1 katoka nje ya beat' au verse one anaimba matusi tu kama vile A, B na C'. Sio mtu anasema tu huu wimbo mbaya bila kutoa sababu na ushahidi wa sababu hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…