MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Toa wako mkuu kumaliza ubishani.Hivi ulitaka wimbo anaotoa Joh Makin upokelewe vipi huko youtube? wengi wanautazama kwa kuwa tu ametoa Joh Makin ila hapo hakuna jipya... hicho sio kipimo sahihi
issue sio mimi kutoa wangu, issue ni kuwa Joh kapuyanga.... usipende kutoa majibu mepesi mepeso.Toa wako mkuu kumaliza ubishani.
Jibu la 1 + 1 = 2 , unataka nifanye differentiation mkuuissue sio mimi kutoa wangu, issue ni kuwa Joh kapuyanga.... usipende kutoa majibu mepesi mepeso.
SafiNa akisema katumia slang hajakosea kwenye mashairi mtasemaje? Kwa wale wote mnaomdiss joh kwa hii track, Hebu na nyie toeni kazi zenu tuanze kusikosoa;(hata kama mnauza chipsi mahali mtupe location tuje tuzikague kama chipsi zenu zinaiva vizuri nyie hamkoseagi.) Wao wanaflow flow laini kama mnataka ngumu msikilizeni Nashi Mc, baba Malcom na SONGA. Binafsi sio mshabiki sana wa joh ila hajakosea alichoimba, kama mnahisi kazingua toeni remix mumsahihishe.... Grammar Nazi's
Kwahiyo nyimbo zilizoimbwa miaka 10 nyuma ndio mbaya? Wakati mwingine mjitahidi kuficha upumbav wenuwimbo mbaya saaana!....km umeimbwa miaka 5-10 nyuma huko
Tunga wako tuoneWala sizungumzii beat, katika literature kuna vitu viwili huwa tunavitazama navyo ni kufaulu na kufeli kwa mwandishi/msanii, hivi vitu vipo tu na wala haiwi dhambi pale inapotokea msanii akafeli.
Kuna vipengere vya fani na maudhui. msanii anaweza akafanikiwa kwenye kipengere kimoja na akafeli kwenye kingine au anaweza kufaulu kwenye vipengere vyote au akafeli vyote, ni kawaida hayo kutokea.
Wasanii wengi hawajali sana maudhui bali huzingatia kipengere cha fani (wanasema biashara ndio inataka hivyo). Joh nae ameangukia huko (sio dhambi) ila dhambi inakuja pale anapopodoa staili sana mpaka anaboa.
Flow mbaya (kwa upande wangu), analazimisha kufanya vitu asivyoweza, wachache wamebarikiwa kuimba na kuchana mfano ni dogo Janja. so kifani Joh amepuyanga.
Kwenye maudhui ndio hovyo kabisa. Kwa msanii wa kariba ya Joh ile sio size ya wimbo anaotakiwa kutupa mashabiki. wimbo mwepesi hauna fikra, yaan kakurupuka. Kwa sasa kinachomuweka juu ni historia yake tu na wala sio hiz track mbovu anazotoa. Najiuliza kama Joh ndio anatunga hivi, akina Harmorapa watatunga nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Excuse me chalii, Wayaaa, tunga yako ka ya Joh mbaaya, sawaThey say ignorance is bliss. True story.
Basically, the song is about a mama Joh came across, and was trying to get her number so he could let her know what's up. Let's break it down.
"Excuse miss" ina maana isiyohusika kabisa na context ya wimbo. Joh alimaanisha kusema "Excuse me miss", kwanini "me" ina-miss hapo?...ugumu wa lugha; kulikuwa na umuhimu/ulazima wa kutumia hiyo lugha?...HELL NO. Then kuna "I'ma gonna", which means "I'm going to going to", what in the universe does that mean?...beats me.
"I'ma gonna holla atcha"....Picture binamu yako katoka uchagani/usukumani na lafudhi yake nzito ya ki-lugha, halafu anajaribu kuongea kama 'mtoto wa mjini'.....that's how Joh sounded like, trying that Fresh Prince's. It's appalling.
That chorus is totally trash. One minute minute Joh is being nice and polite tryna get the mami's dials "Excuse me miss, can I get your number?", then he goes "I'm gonna holla atcha" (I'm going to call you). When you're asking a mama for her number, the obvious question will be why do you want it, or/and why should you get it. Saying "I'm gonna holla atcha" indicates that you got the number and have established some sort of a relationship already, which is not the case here. The perfect response would be "I'd like to holla atcha" or even the cocky "I wanna talk to ya" wouldn't be so bad.
Ningechambua verse(s) pia, ila litakuwa bonge ya gazeti. Kuna swali dogo tu la kujiuliza hapa; nani anakutana na manzi, na kuwaponda wenye stress za kuolewa katikati ya mtongozo??
True fans criticize when necessary to draw the best outta rappers, minions just kiss butts and accept whatever thrown at them.
Kazi ya hater ni ku-hate.They say ignorance is bliss. True story.

Hata integration fanya tuuJibu la 1 + 1 = 2 , unataka nifanye differentiation mkuu
Imepotea teyari hata wiki ijamaliza!Bongeee la ngomaaaa. Unavyoisema ndiyo unaipa promo hata ambao tulikuwa hatujaisikia tumeitafuta. Huyu jamaa kweli ni TZ Jay Z