Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

huyu jamaa ana english ya mwendo kasi hatari.... "ekskyuuuuz mi ken ai get yua namba.... Ama gona lachya"
 
Pindi msanii unapokua mkubwa unakua na kundi kubwa la watu ambao ni zaid ya mashabiki wanakua kama waumini(die hard fans).Kwa level ya joh makini yuko nafasi hyo.
kiuhalisia wimbo ni wa kawaida lakn utakua maarufu na mkubwa.
 
Patra haiko formal siku zote, kwa anayeongea Patra hiyo ",ama gonna" ni sentensi ya kawaida sana, kwa kifupi hayo makosa ya kisarufi yanayofanyika kwenye patra ndiyo swag yao; msikilize Rihhana, busy signal na wengine wote wanaoandika patra soma hizo lyrics utashangaa;

Maneno mengi ya kiswahili ambayo sio formal ameyatumia pia hujayanotice kwasababu its all about flavor.

Wakenya wao wana sheng naipenda pia kwakuwa nailewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…