Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

Una ugomvi na jamaa?

Baada ya kutuhumiwa kwamba anabebwa, sasa kakurupuka na kutuletea ngoma mbovu inayokwenda kwa jina la waya
Kiukweli hii ngoma haitakua na maisha marefu katika game hii yenye ushindani mkubwa yaani labda aendelee kubebwa!

Namshauri ajitafakari na akajipange upya huenda kweli anabebwa!

=============================================

Tupe link ya wimbo wako bora zaidi ya huu!

Hakuna swag hapo man, jamaa amechemka. Hakuna "patra"(what's that btw?), patois, Fresh Prince's, jargon, or any vernacular where "I'ma gonna" makes sense. Do your homework, man. Joh is my favorite rapper atm, so if there was anyway around to justify his gibberish, I'da been at the front.

Nimezaliwa na kukulia A town zaidi ya nusu ya umri wangu bob, so kupindisha kiswahili nakuelewa vizuri sana, na siyo kwamba sija-notice.

Joh amechemka kwenye lugha hapo, na mbaya zaidi ni kwenye kiitikio(kinajirudia). Ingekuwa ni katika m(i)stari, hakuna noma, hata kina Biggie walishawahi chemka.
 
ujui nn maana ya swag mbona bele 9 kwenye wimbo wake mpya anasema *....nilivyo rudi kwenye meza nikakuta emtoo*animus anamaanisha nini emtoo ni emty au ulijua kaongea kinyaturu [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuliza hasira mchezo huu unaitaj floo lain nguvu kidogo like joh amaa mtaelewa tu na atafanya shoo nyingi tu kisa hii nyimbo subirini
Mkuu umenifananisha, izo swag za emptoo ni sehemu ya swag nazoheshimu sana thats why natoa marks 100% kwa Joh na ninaelewesha huyo anayemchambua sarufi za kwenye waya na nimemwambia hiyo ni patra,
Au na wewe hujui patra?
 
sory ata mm nilikuwa namchana uyo anaepondea swag ya joo
 
Hakuna swag hapo man, jamaa amechemka. Hakuna "patra"(what's that btw?), patois, Fresh Prince's, jargon, or any vernacular where "I'ma gonna" makes sense. Do your homework, man. Joh is my favorite rapper atm, so if there was anyway around to justify his gibberish, I'da been at the front.

Nimezaliwa na kukulia A town zaidi ya nusu ya umri wangu bob, so kupindisha kiswahili nakuelewa vizuri sana, na siyo kwamba sija-notice.

Joh amechemka kwenye lugha hapo, na mbaya zaidi ni kwenye kiitikio(kinajirudia). Ingekuwa ni katika m(i)stari, hakuna noma, hata kina Biggie walishawahi chemka.
Baba baki na msimamo wako,
ila jitahidi uwe na tabia ya kujisomea lyrics za wasanii mbali mbali wakiwemo niliyokuorodheshea hapo juu utaona hicho kingereza wanachokiandika na kutamka especially wanaoimba raga or reggae, dance Hall nk (nyingi ni pijini za kijamaika na kingereza)utawasahihisha mpaka utachoka coz nimakosa ya kisarufi yaliyotengenezwa kwa makusudi kwasabu yanawapa swag wanaotaka wao na mengine wameyakosewa kisarufi tangu mwanzo na wameyaacha hivyo-hivyo hata baada ya kujua kuwa wanakosea.

Ni sawa na mswahili asahihishe shang ya wakenya ambayo kwao ni swag.

Kupanga ni kuchagua
 
embu kaangalieni video youtube watu kibao mbona wameshatazama na ni siku moja tu weusi ni kampuni kwahiyo shindaneni na kampuni kama amjajitangazia njaa usipoipenda toyo iliyokubeba kabla aijakufikisha home dereva karudishia mara nne watu wamejikoki bana
 
Ngoma Mbovuuuu8 Kama Kajiandae, Kama Sio Kubebwa Na Mwanachuga Mwenzake Mchomvu, Siku 2 Tu Kapuni
 
Haters gonna hate, hii ngoma Kali, hajawahi kukosea
 
Baba baki na msimamo wako,
ila jitahidi uwe na tabia ya kujisomea lyrics za wasanii mbali mbali wakiwemo niliyokuorodheshea hapo juu utaona hicho kingereza wanachokiandika na kutamka especially wanaoimba raga or reggae, dance Hall nk (nyingi ni pijini za kijamaika na kingereza)utawasahihisha mpaka utachoka coz nimakosa ya kisarufi yaliyotengenezwa kwa makusudi kwasabu yanawapa swag wanaotaka wao na mengine wameyakosewa kisarufi tangu mwanzo na wameyaacha hivyo-hivyo hata baada ya kujua kuwa wanakosea.

Ni sawa na mswahili asahihishe shang ya wakenya ambayo kwao ni swag.

Kupanga ni kuchagua

Jifunze lugha man, sio lyrics. Sijawahi kuisikia "I'ma gonna" ikitumika popote, na wala haileti maana.

I'm gon', or I'm gonna, ndiyo right terms. I'ma na gonna ni kitu kimoja.
 
Joh abebwe since 2005 inaingia akilini kweli, coz joh namfahamu since akiwa chuga na river camp yake kahustle mpaka anatoka, mbona kabla hajawa superstar mlikua hamsemi km anabebwa? Na je hao wanaombeba wana uhusiano gani na joh mpaka wambebe, je kwnn wasiwabebe wasanii wengine? Mwanzoni mlianza anaandikiwa na Niki hiyo ikafeli, ss hv anabebwa, mbeleko gani isichanike since 2005. Af kuanzia alipotoa stimu zimelipiwa, ni ngoma gani joh alitoa mbaya? Muwe mnajenga hoja zenye maana, mbona Kokoro mbaya hamjasema imebebwa, kingine kuweni specific joh anabebwa na nani, clouds, east Africa, times au media gani, na ukumbuke ndo msanii pekee wa hip hop bongo mwnye followers 1m istagram so ata hao followers kabebwa sio
 
Back
Top Bottom