Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
una uhakika usemacho au umekurupuka?Joh hajawahi kuwa na producer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una uhakika usemacho au umekurupuka?Joh hajawahi kuwa na producer
Mkuu nihabarishe? Nini kilitokea baina ya weusi na nahreal?MSANII KUMPONDA PRODUCER ANAYEMTENGENEZEA NGOMA BILA MALIPO NI LAANA HIYO
Hapana mkuu kila mtu ana miziki yake anayoipenda, wewe uliipenda sana Kijuso, kiba na mond imetosha tuwaache, kwasasa tujikite kuwakuza na hawa wengine kina queen nkTatzo unawawaza sana kina kiba na mond
Watu wa Arusha sijui wamekufanyaje wewe msukuma uchwara.Hilo ndo zao la arusha ndo msanii mkali kushinda wote arusha
Nyie watoto mmeanza kusikiliza mziki hizi enzi za kina Marco chali huna utakachosema nikakuelewa kwa kweli.una uhakika usemacho au umekurupuka?
wewe ndo hujui muziki unaposema joah makini hana producer hebu thibitisha hapaNyie watoto mmeanza kusikiliza mziki hizi enzi za kina Marco chali huna utakachosema nikakuelewa kwa kweli.
Na itakuwa nzuri tuXxl wanalazimisha iwe nzuri
Mkuu ngoja tuone kama trace na mtvbase nayo kama watailazimisha maana hata kavideo kanavutia kwa kweliXxl wanalazimisha iwe nzuri
Mmemuandama sana homeboy lately, so imebidi niutafute huo wimbo na kuuskiliza. Frankly, it's a let down from Joh. Ngoma ina hook mbaya in every sense, nani alimshauri kuwa anajua kuimba?? Na kikristo sasa babaa, ni aibu arif. Binafsi ningemshauri afute hook, na kuirudia upya kabisa. Aliyetayarisha hii ngoma, hastahili kabisa kujiita mtayarishaji.
"Excuse miss,......I'ma gonna "???. C'mon bro! Learn the language first, then you can learn talkin' slick and what not.