Baada ya kutuhumiwa kwamba anabebwa, sasa kakurupuka na kutuletea ngoma mbovu inayokwenda kwa jina la waya
Kiukweli hii ngoma haitakua na maisha marefu katika game hii yenye ushindani mkubwa yaani labda aendelee kubebwa!
Namshauri ajitafakari na akajipange upya huenda kweli anabebwa!
=============================================
Hakuna swag hapo man, jamaa amechemka. Hakuna "patra"(what's that btw?), patois, Fresh Prince's, jargon, or any vernacular where "I'ma gonna" makes sense. Do your homework, man. Joh is my favorite rapper atm, so if there was anyway around to justify his gibberish, I'da been at the front.
Nimezaliwa na kukulia A town zaidi ya nusu ya umri wangu bob, so kupindisha kiswahili nakuelewa vizuri sana, na siyo kwamba sija-notice.
Joh amechemka kwenye lugha hapo, na mbaya zaidi ni kwenye kiitikio(kinajirudia). Ingekuwa ni katika m(i)stari, hakuna noma, hata kina Biggie walishawahi chemka.
Mkuu umenifananisha, izo swag za emptoo ni sehemu ya swag nazoheshimu sana thats why natoa marks 100% kwa Joh na ninaelewesha huyo anayemchambua sarufi za kwenye waya na nimemwambia hiyo ni patra,ujui nn maana ya swag mbona bele 9 kwenye wimbo wake mpya anasema *....nilivyo rudi kwenye meza nikakuta emtoo*animus anamaanisha nini emtoo ni emty au ulijua kaongea kinyaturu [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuliza hasira mchezo huu unaitaj floo lain nguvu kidogo like joh amaa mtaelewa tu na atafanya shoo nyingi tu kisa hii nyimbo subirini
Tupe link ya wimbo wako bora zaidi ya huu!
Ugomvi gani tena?Una ugomvi na jamaa?
sory ata mm nilikuwa namchana uyo anaepondea swag ya jooMkuu umenifananisha, izo swag za emptoo ni sehemu ya swag nazoheshimu sana thats why natoa marks 100% kwa Joh na ninaelewesha huyo anayemchambua sarufi za kwenye waya na nimemwambia hiyo ni patra,
Au na wewe hujui patra?
Baba baki na msimamo wako,Hakuna swag hapo man, jamaa amechemka. Hakuna "patra"(what's that btw?), patois, Fresh Prince's, jargon, or any vernacular where "I'ma gonna" makes sense. Do your homework, man. Joh is my favorite rapper atm, so if there was anyway around to justify his gibberish, I'da been at the front.
Nimezaliwa na kukulia A town zaidi ya nusu ya umri wangu bob, so kupindisha kiswahili nakuelewa vizuri sana, na siyo kwamba sija-notice.
Joh amechemka kwenye lugha hapo, na mbaya zaidi ni kwenye kiitikio(kinajirudia). Ingekuwa ni katika m(i)stari, hakuna noma, hata kina Biggie walishawahi chemka.
=tuithaminisheIkwapi sasa weka hapa tuisaminishe!
Baba baki na msimamo wako,
ila jitahidi uwe na tabia ya kujisomea lyrics za wasanii mbali mbali wakiwemo niliyokuorodheshea hapo juu utaona hicho kingereza wanachokiandika na kutamka especially wanaoimba raga or reggae, dance Hall nk (nyingi ni pijini za kijamaika na kingereza)utawasahihisha mpaka utachoka coz nimakosa ya kisarufi yaliyotengenezwa kwa makusudi kwasabu yanawapa swag wanaotaka wao na mengine wameyakosewa kisarufi tangu mwanzo na wameyaacha hivyo-hivyo hata baada ya kujua kuwa wanakosea.
Ni sawa na mswahili asahihishe shang ya wakenya ambayo kwao ni swag.
Kupanga ni kuchagua
Kuna uhusiano gani kati ya nachoongelea, na ulichoniuliza??
Ugomvi gani tena?
Amtafute killer kwanza
unaponda ya mwenzako we kilaza
Hii iko nje ya mada husika!umeongea kishabiki kweli na kumuandama, una wimbo wako mzuri zaidi utupe link Kaka? maana umezarau sana wa mwenzako!