Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

JF kuna tabia moja yani wachangiaji wakwanza wakianza kuponda basi ni kuponda mwanzo mwisho
Kumbe umegundua ee, watu wengi mi wafuata mkumbo hawawezi kujaji kwa utashi wao, si ajabu hata hao wanaoponda hawajausikia wimbo
 
Ni wa kawaida !,5/10,,video na audio vinapishana!yaani mdomo unachelewa Ama kuwahi hi kutamka ,!sijaeleweka !nimeshindwa kuelezea vizuri
 
Ndo hivyo kashavuta waya mwamba wa kaskazn kawaachia wana JF majungu.
 
Kweli huu waya umewakuna wengi, mwamba eeeh wakazie haoo
 


ulitakiwa uweke ukiwa na mawazo huru, bila kuwa biased

wimbo mzuri
 

wanafanya kulingana na soko mkuu

hipo hop watu wa rufiji, kyela na ngara wapi na wapi? nani alishakuwa mtumwa au activist?

hiphop imekuwa customized, u want hardcore hiphop...sio Tanzania, waliofanya wote enzi hizo hapa nchini ni maskini wakutupwa

relax
 
[emoji23] [emoji23] Haters bhana, Walitegemea kusikia Joh anamjib Young K, Mwisho wa siku kapiga Wayaaa wapinzani wanababaika.

NB: Joh alishawahi sema hana kawaida ya kurudia mambo hizo 'Hipapu' unazo ziita Hardcore au zakuelimisha ameshazifanya zote sasahivi anafanya vitu vipya TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…